Jinsi ya kumjua msichana mwenye mapenzi ya dhati na ya kweli! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya kumjua msichana mwenye mapenzi ya dhati na ya kweli!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by dottoz, Feb 25, 2012.

 1. dottoz

  dottoz JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 805
  Likes Received: 317
  Trophy Points: 80
  Nahtaji namna ya kumjua msichana mwenye mapenz ya dhati kwa ampendaye.
   
 2. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Basi utakuwa na mtihani mgumu kweli............
  Kipimo unacho mpimia ndicho atakacho kupimia.

  Mpende mmoja tu nae atakupenda kweli kweli,...........
  ni rahisi sana kwa wadada kujifunza kupenda kuliko wanaume.
  Just fall with one.
   
 3. libent

  libent JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kuwafahamu inakuwa ngumu kidogo maana wa siku hizi wanapretend ile mbaya. Ila kitu cha kwanza kwako wewe unatakiwa uondoe fikra za kimatamanio ili ujiweke kwenye position ya kumchunguza.

  Kuwa kama wewe usiigize halafu uone anakuchukuliaje
  Wanawake waliowengi wanaangalia kipato cha mwanaume sasa hapo angalia sana. Muangalie siku akikuomba pesa halafu ukamwambia sina angalia reaction yake, ukiona anakuuliza utapata lini pesa basi kula kona mapema huyo hakufai.
  Angalia anavyojali mambo yako sio wewe kila siku kujali mambo yake

  Mengine baadae ngoja wengine waje
   
 4. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nimeipenda sana sura yako aiseee.
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  yuko wapi nikakupimie?
  Nna kifaa hicho, made in Italy, very accurate.
   
 6. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #6
  Feb 25, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Anza wewe kumpenda kwa dhati, then angalia respond yake ya mapenzi kwako.
   
 7. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #7
  Feb 25, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Huh,...
   
 8. libent

  libent JF-Expert Member

  #8
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ni nzuri eh?
   
 9. libent

  libent JF-Expert Member

  #9
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hivyo vifaa vyako vinanifanya nikune upara wangu
   
 10. k

  kisukari JF-Expert Member

  #10
  Feb 26, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,757
  Likes Received: 1,045
  Trophy Points: 280
  hiyo avatar yako,inanitisha
   
 11. libent

  libent JF-Expert Member

  #11
  Feb 26, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mimi anza penda weye
   
 12. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #12
  Feb 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  atafanya kila kitu utachomwambia, trust me kila kitu...
  Soure: dr. manyaunyau
   
 13. w

  which is which Member

  #13
  Feb 26, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mmmmhhh
   
 14. w

  which is which Member

  #14
  Feb 26, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inategemea na wewe jinsi ulivyokutana nae nikimaanisha wakati unamtongoza, je ulitanguliza pesa? maana wanaume wengi wamekuwa wakitanguliza pesa pindi wanapowaitaji wasichana isitoshe wanawake wengi wapo kipesa zaid.


  SASA KWA WALE WENYE WANAWAKE PINDI HAWANA KIPATO NA WANAWAKE WAMEWAKUBALI
  endapo mwanamke amekuwa na wewe ktk mapenzi na hauna kipato kizuri,, sasa huyu kumtambua kama anakupenda utamtambua kupitia maongezi yake unapokuwa naye,, pia utamtambua kupitia ktk jamii je anakuchukuliaje? nikimaanisha je anakuwa huru kuongozana na wewe barabarani? IF YES basi jua huyo anakupenda,, sbb mwanamke asiyekupenda hawezi kuwa huru kuongozana na wewe.
  pia utamtambua kupitia mawasiliano nikimaanisha simu,, sio siri mawasiliano ya simu ni muhimu sana kwa wapendanao,,, yani je huyo mwanamke huwa anakupigia simu kwa siku angalau hata mara 3? IF YES basi jua huyo anakupenda,,,,hicho ni kiwango cha chini inawezekana ikawa ni zaidi ya hapo..ingawa ilo atuliangalii sana lkn inaweza kukusaidia kutambua
  sbb kwa mwanamke asiyekupenda inawezekana asikupigie simu kabisa na ukimuuliza anakuwa mkali sana na atakujibu ovyo.
  NA USIONE AJABU AKIIONA SIMU YAKO UNAMPIGIA ANAKASIRIKA.. naukitaka ujue hilo jaribu siku kujibanza sehemu aliyopo mwandani wako alafu mpigie simu huku unamuona lkn hakikisha yeye hakuoni alafu uone respond yake kwenye call yako.

  pia utamtambua pindi upatapo matatizo,, ata share nawewe kwaukaribu zaid akikufariji,, ataumia nawewe.

  pia unapokuwa ktk mkusanyiko wa watu au kwenye shughuli fulani endapo ikatokea umekosea kitu fulani iwe kwa kuongea au kutenda basi mwanamke huyu atasubiri muondoke maeneo yale ndipo atakukoksoa,, basi jua huyo anakupenda...
  LKN kwamwanamke asiyekupenda wala hasubiri muondoke bali atakukosoa hapohapo mbele za hao watu nakukudharirisha maana haoni tabu maana hana mpango na wewe

  pia mwanamke huyu siku zote humweka mwanaume wake juu kwa kumsifia kwa watu hata kama ni vya uongo,, yani mpaka mwanaume anajiona yeye ndo yeye na mwenye fahari mbele za watu sbb mke au galfriend wake anamuinua,,,, LAKINI mwanamke asiyekupenda yeye mda wowote usipokaa vizuri hashindwi kukukosoa hata mbele zawatu ilimradi tu

  SASA KWA WALE WANAUME WENYE WANAWAKE PINDI WAWAPO NA KIPATO KIZURI PESA
  kumtambua mwanamke kuwa anakupenda pindi unapokuwa nakipato kizuri, utamtambua kwenye matumizi yake yaani je matumizi yake ni ya kimaendeleo?? IF YES basi jua huyo anakupenda,,, sbb kwa mwanamke asiyekupenda matumizi yake yatakuwa ya kujifikiria yeye tu na sio yenu wote kwa maendeleo..

  pia utamtambua kupitia outing zenu yaani je huwa anakusaidia kulipa gharama za matumizi yenu baadhi ya siku? IF YES jua anakupenda,, sababu mwanamke yeyote ampendaye mpenzi wake na aliyeumbika na haya atamwambia mpenzi wake kwa utaratibu, (''darling usijali leo nitalipa mimi'') yaani haijalishi mwanaume wake ni tajiri kiasi gan mwanamke huyu yupo tayari kusaidiana gharama na mpenzi wake.

  pia utamtambua pindi upatapo shida sbb unapokuwa na shida mwanamke akupendaye ataumia na wewe kwakukufariji LAKINI mwanamke asiyekupenda wala hawezi kushtuka juu yatatizo lako tena utamgundua tu maana pindi unapomuelezea matatizo yako yeye atakuwa anakujibu shortcut ilimradi umalize maelezo yako maana unam-boa.

  ANGALIZO: ANGALIZO: ANGALIZO: ANGALIZO: ANGALIZO: ANGALIZO: ANGALIZO:
  watu wanajidanganya kuwa ukiwa na mwanamke wakati hauna kipato basi mwanamke huyo atakuwa na mapenzi ya dhati,, mimi nakanusha sio kweli sababu kuna mwanamke mwingine anakuwa na wewe pasipokuwa nakipato sababu amekosa mwanaume wa chaguo lake ivyo yupo kwako amejiegesha tu sbb amekosa mwanaume lkn ikitokea kampata tu basa atakuacha solemba.. isitoshe mwingine mpaka anaolewa nawewe lkn hakupendi kabisa sasa mwisho wa yote atakuwa ana cheat kwenye ndoa yenu sbb kwako amejiegesha tu aitwe mke wa mtu. ivyo kuwa mwangalifu ktk hilo.

  pia wapo wanawake ambao hata ukimtangulizia pesa bado yeye atakupenda kwa dhati tu ata ikitokea umefilisika kabisa mwanamke huyu yeye anaendelea kukupenda kwa dhati kwa shida na raha ingawa hawa ni wachache sana kwa dunia ya sasa.. cha msingi fuata hayo niliyoeleza hapo juu yatakusaidia.


  NAKUPA ASSIGNMENT NENDA KAMTANGAZIE SHIDA HUYO UMPENDAYE ULIYENAYE MWAMBIE HAUNA PESA KABISA YANI PRETEND UMEFILISIKA THEN UTAONA RESPOND YAKE,,SASA HAPO NDIPO UTAGUNDUA MAPENZI YA DHATI KAMA YAPO AU HAYAPO.


  ZAIDI YA YOTE MSHIRIKISHE MUNGU KUMPATA YULE AKUPENDAYE KWADHATI NA WEWE UMPENDE KWA DHATI,,, USITUMIE NGUVU ZAKO MWENYEWE
   
 15. Mutta

  Mutta Senior Member

  #15
  Feb 26, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mara nyingi wanaume ndo tunaanza kupenda tena kwa dhati,Baadae unagundua kuwa uliyempenda hana mapenzi ya dhati.Anaangalia kipato,kikipungua anaanza visa huyooo anatafuta bwana mwingine.
   
 16. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #16
  Feb 26, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Msichana akisha kupenda utamjua tu, hao wakisha penda huwa hawafichi.
   
 17. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #17
  Feb 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  hivi kwa nini hawawezi ficha wakipenda?
  Na hicho ndo kinawakost.

   
 18. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #18
  Feb 26, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  we kongosho utampima je ke mwenzako au una fake ya me frm italy
   
 19. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #19
  Feb 26, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kama atakuwa anakujali yaweza kuwa kipimo,lakini uwe makini unaweza jaliwa ile hali kuna mwingine pembeni wa kuchunwa.
   
 20. mtemiwaWandamba

  mtemiwaWandamba JF-Expert Member

  #20
  Feb 26, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 536
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45

  Ufafanuzi mzuri.
   
Loading...