Unawezaje kucontrol hisia zako

Unawezaje kucontrol hisia zako

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,200
Pale unapokumbana na tatizo either Usaliti kutoka kwa mwenza wako au kukelwa nae kiasi cha kuumiza Moyo wako

Cc Zero IQ
 
Pale unapokumbana na tatizo either Usaliti kutoka kwa mwenza wako au kukelwa nae kiasi cha kuumiza Moyo wako

Cc Zero IQ
Kwa wale Wasiopenda maumivu kama mimi huwa ni
"Toa kitu, ingiza kitu".

Inaitwa "Love yourself"
Usimpende jirani yako zaidi ya unavyojipenda wewe.

Ukifanikiwa kui-control hii moyoni mwako, huwezi jutia na hutaumizwa kizembe.
 
Back
Top Bottom