rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,491
- 41,905
Kuna tabia mbaya sana imeibuka siku hizii vijana wa mjini kuzaa au kuzalisha alafu Watoto wanawapeleka kwa Bibi akawalelee, Ubaya haya hela za matumizi hawatumi watoto wanaishia kuzagaa mitaani na kuvizia chakula kwa watu akati Baba na mama zao wanapiga umalaya tu na kulewa mjini huku.
Kondomu zimejaa telee huwezi kumuhudumia mtoto ebu jitahidi usimlete dunia na kuanza kuwapa tabu bibi na babu wamekulea wewe kwa shida bado upeleke na wajukuu tena wawalelee?
Huku ni kujitafutia laana pia wazee wamechoka acha wapumzikw kama huwezi kuwa faraja kwao kwa kuwahudumia bhasi at least usiwape Mzigo wasiostahili kuubeba mwisho wakafa mapema kwa shida na mawazo.
Imeishaa hiyo TUBADILIKE.