Aliyekuwa house girl wetu amekuwa matawi ya juu mpaka nimetamani awe mke wangu

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
19,470
25,394
Wakuu leo nimemfuma house girl wetu akiwa ana drive pia amekuwa yupo hot saaana yani(amekuwa na mvuto mkubwa wa kimapenzi)

Amezidi kuwa soft pia kwenye mazungumzo yetu nilicheki picha zake kwenye simu yake na nyingine alizopost FB yani yupo vizuri kwa kweli yani kwa kuwa amepost akiwa sehemu zenye hadhi kubwaa kwa kweli yani kwa mtu asiye mjua nikimwambia alishawahi kuwa beki 3 wetu anaweza kukataa

Nimemtamani ghafla awe mama watoto wangu kwa kuwa hata kipindi yupo kwetu nililala naye mara nyingi tu sema kipindi kile nilikuwa naenda kupunguza punguza hamu zangu tu na hata yeye hilo alilijua kwa sababu alikuwa anamjua demu wangu kwa kuwa alikuwa anakuja mara kwa mara nyumbani


Wakuu mnanishauri nini kuhusu swala hili??
 
We kweli ni mwehu yan sasa hivi ndo unamuona matawi ushaambiwa ukiona ngedere mjini ujue ana mwenyewe kama vile kipind akiwa beki3 wenu alivyokuwa anajua kama ngedere ww una mtu sasa jiongeze halaf vepee yule demu wako?????
 
Una maanisha nini mkuu?
Unapaswa utambue mjini hakuna pori kwahiyo ukiona ngedere anaranda mjini ujue ana mwenyewe anayemfuga...
kwa lugha nyingine ukiona chavutia ujue kimeundwa(kuna mwenzio anamgharamia)
Mpaka hapo naamini utakuwa ushaelewa.
 
Unapaswa utambue mjini hakuna pori kwahiyo ukiona ngedere anaranda mjini ujue ana mwenyewe anayemfuga...
kwa lugha nyingine ukiona vyavutia ujue vimeundwa(kuna mwenzio anamgharamia)
Mpaka hapo naamini utakuwa ushaelewa.
Sawa na mimi si nitamgharamia kwani inashindikana nini mkuu?
 
Back
Top Bottom