Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,490
- 62,876
Nipo hapa mji wa jirani nimeamua kuja kubadilisha hali ya hewa,nikasema nitafute mtoto mzuri wa kuniweka bize kidogo ili niweze kupunguza msongo wa mawazo wa kidunia.Mtoto akaomba nimtumie garama za kumleta.......nimemtumia, tangu asubuhi mpaka sasa hivi...nipo tu mwenyewe sijielewi.Nikipiga simu,haipatikani.....hapa nilipo moyo uko tayari kuachana na mwili.Jamani muwe mnatoa ahadi za kweli.