Anfibix
Senior Member
- Dec 1, 2018
- 190
- 308
Jamanie naombeni msinihukumu but hii ni wish yangu kutoka moyoni. Natamani kuwa na mwanaume wa kizungu. Wadada wenzangu yeyote ambae ashawahi kudate na mzungu naombeni mbinu, pa kuwapata na lifestyle itakayo wa attract. Je sifa zao nzuri ni zipi na mbaya ni zipi. Naombeni tuzungumze [emoji1787]