kombaME
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 2,115
- 2,809
Wababa tupo kwenye hatari ya wengi wetu kufa mapema sababu ya stress na upweke hasa tunapoingia uzeeni.
Wanawake wetu wameingiwa na roho ya ubinafsi sana siku hizi, wanawapandikiza watoto mafundisho ya kishenzi sana na kutaka kuwaaminisha watoto kwamba wao ndo kila kitu kwenye maisha yao na baba ni kama yupo yupo tu hana msaada, watoto wanakua na hiyo hali na mwisho wa siku wamama ndo wanapata heshima kubwa mbele za watoto kuliko sisi wababa, watoto wanawaheshimu na kuwajali zaidi mama zao kuliko baba zao hali hii hupelekea wazazi wengi wa kiume kupata msongo wa mawazo na kufa mapema, ndo maana dunia hii wajane ni wengi kuliko wagane.
Muda Umefika sasa Sisi wababa kutowaamini tena hawa wamama, Nakuomba kama ni Ada, au zawadi yoyote tafadhali usimpe mama ampe Mtoto, mpe wewe mwenyewe kama baba, na umwambie wazi hii hela nimeitafuta mimi nakupa ukaifanyie moja mbili tatu.. mtoto aone kwa macho itasaidia sana kukuthamini na kukuona unafanya kama baba.
Wanawake wetu wamekuwa na Roho mbaya, hasa hasa nyinyi wababa ambao mlizaa tu na mwanamke alafu hauishi nao ila unawajibika kutuma fedha kwa ajili ya mahitaji ya mtoto wako, nikuambie tu hela akishaipokea yule mama, Akupe credit wewe bali anamwambia mtoto mimi ndo nimechakarika kupata hii hela baba ako yupo na vimada huko hata hakukumbuki.. unafika uzeeni mtoto yupo pazuri kwa hela zako anaanza kukuletea dharau na kutokukuthamin. Inauma sana.
Ni hayo tu wababa wenzangu.