Ilipaswa kuwa mimi

Ilipaswa kuwa mimi

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
16,631
Reaction score
38,750
Kila mtu ananicheka kwenye akili yangu,
Uvumi unasambaa kuhusu huyo jamaa mwingine,
Unafanya ulioyafanya wakati ulipofanya na mimi?
Anakupenda kama nilivyokupenda?
Umesahau mipango yote tuliopanga tukiwa pamoja?
Mimi sijasahau.....

Ulisema unahitaji mda kidogo wakuyatafakari makosa yangu,
Inachekesha ulivyotumia mda huo huo kuniondoa kwenye nafasi yangu,
Ulifikiri sitokuona mkiwa mnatoka out kwenda kwenye movies?
Unanifanyia nini?
Unampeleka sehemu ambazo tulizokua tunaenda pamoja
Kama unajaribu kuuvunja moyo wangu basi inafanya kazi kwasababu unajua
Ilipaswa kuwa mimi ninae shika mkono wako
Ilipaswa kuwa mimi naekufanya ucheke
Ilipaswa kuwa mimi naepata makiss yako
Ilipaswa kuwa mimi naekununulia zawadi
Hii sio sawa siwezi kuendelea mpaka uamini kwamba ilipaswa kuwa mimi

Nahitaji kujua napaswa kulipigania penzi lako au kunyamaza
Ni ngumu kuyazuia haya maumivu moyoni

Sikupaswa kukuacha uende....
 
Duuh jifunze kuachia...let her go huyo akupangwa kuwa wako acha kufosi
Destiny is a funny thing [emoji16]

Ngoja niendelee na pombe [emoji482]
 
Achana naye haikupaswa kuwa wewe kwa lolote na ndiyo maana kaenda zake sjui bhangi ya leo umeitolea wapi
 
Safari kubwa kama wamezidisha sukari aisee shida ni nin pale tbl??

Au wamechanganya na ma reds kama kawaida yao?[emoji23][emoji23]
Duuh jifunze kuachia...let her go huyo akupangwa kuwa wako acha kufosi
Destiny is a funny thing [emoji16]

Ngoja niendelee na pombe [emoji482]
 
Daaa umenikumbusha jani nina miaka kadhaa toka niache hiyo kitu...
Achana naye haikupaswa kuwa wewe kwa lolote na ndiyo maana kaenda zake sjui bhangi ya leo umeitolea wapi
Kwanin umehisi nimetumia jani?
 
Pole mkuu.. (Storylines unaonyesha ni mdada ndio anatoa hii habari right? )
If it's you or Her. Note that..

Love's Life is all about Compatibility to each other. Kama hampo Compatible usifosi, fikicha macho fumba macho kisha songa mbele...Unachokipenda kikikutoka jua haikua saizi yako kuna vizuri vyako vinakuja vitakavyo kupa furaha.

Be the person who you can make yourself happy
 
Sijui wanashida gani Wale..mkuu unazinywa sana hizo? [emoji16]Mimi na baridii na mvua hii napiga konyagii zangu kadhaa nakuwa wa motoo nalipata joto fresh

Unaweza lala hata sakafuni [emoji16]
Safari kubwa kama wamezidisha sukari aisee shida ni nin pale tbl??

Au wamechanganya na ma reds kama kawaida yao?[emoji23][emoji23]
 
Nahitaji kujua napaswa kulipigania penzi lako au kunyamaza
Ni ngumu kuyazuia haya maumivu moyoni

Sikupaswa kukuacha uende....

Bro! Utakufa kihoro bure
Huna sababu ya kutotoka
Maisha mafupi ila matamu
Utamu mdomoni mwako
Sio mdomoni kwa binti
Huna thamani kwake
Yanini kumlilia kihalisi?
Lazima ukubali kwenda
Ili uishi uzuri duniani
Yanini kufa bado dogo?
Kufa kibudu kirahisi tu
Kwanini akufanye zoba
Afurahie mateso yako
Jifunze kuachia mambo
Wen dhings geti tofu
Let ze tafa get going

Bazazi!
 
Ni me mkuu...wenye mapenzi ya kizungu
Pole mkuu.. (Storylines unaonyesha ni mdada ndio anatoa hii habari right? )
If it's you or Her. Note that..

Love's Life is all about Compatibility to each other. Kama hampo Compatible usifosi, fikicha macho fumba macho kisha songa mbele...Unachokipenda kikikutoka jua haikua saizi yako kuna vizuri vyako vinakuja vitakavyo kupa furaha.

Be the person who you can make yourself happy
 
Hakikaa
Bro! Utakufa kihoro bure
Huna sababu ya kutotoka
Maisha mafupi ila matamu
Utamu mdomoni mwako
Sio mdomoni kwa binti
Huna thamani kwake
Yanini kumlilia kihalisi?
Lazima ukubali kwenda
Ili uishi uzuri duniani
Yanini kufa bado dogo?
Kufa kibudu kirahisi tu
Kwanini akufanye zoba
Afurahie mateso yako
Jifunze kuachia mambo
Wen dhings geti tofu
Let ze tafa get going

Bazazi!
 
Nazigonga sana mkuu mimi nimeacha pombe kabisa, nakunywa safari tu
Sijui wanashida gani Wale..mkuu unazinywa sana hizo? [emoji16]Mimi na baridii na mvua hii napiga konyagii zangu kadhaa nakuwa wa motoo nalipata joto fresh

Unaweza lala hata sakafuni [emoji16]
 
Back
Top Bottom