NAOMBENI USHAURI: Nimempa mimba, sikujua kuwa ni mke wa mtu

Chilogole

JF-Expert Member
Jun 18, 2019
291
272
Nina uhusiano na binti mwezi wa pili huu. Awali nilimuuliza kama yupo single akasema ndio sasa juzi ameniambia kuwa ana mume ila walitengana na huyo mwanaume ameenda kwao kuomba msamaha na yeye siku yoyote anaenda kwa mumewe.

Sasa swali: Je, itakuwaje na tayari ni mjamzito? Na Mimi nimemwambia hiyo mimba asiitoe. Itakuwaje huko aendako?

Msaada wa mawazo wananzengo.
 
Nimempima kamanda
Umechezeshwa kidogo unacheza kama mlevi wa chimpumu.

Umeambiwa ana mimba umempima ukaona ana mimba kweli? Kama alikuficha kuwa ana mume, je una uhakika gani kama hiyo mimba ni yako?

Hapo hakuna mimba wala nini kashakuona zuzu anakuchezea
 
Huyo hana mume wala mimba huo ni mtego baadae aombe hela ya kuitoa mimba wakati hana lolote.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Ninauhusiano na binti mwezi wa pili huu. Awali nilimuuliza kama yupo single akasema ndio sasa juzi ameniambia kuwa ana mume ila walitengana na huyo mwanaume ameenda kwao kuomba msamaha na yeye siku yoyote anaenda kwa mumewe.

Sasa swali: Je, itakuwaje na tayari ni mjamzito? Na Mimi nimemwambia hiyo mimba asiitoe. Itakuwaje huko aendako?

Msaada wa mawazo wananzengo.
Haraka andika barua kukiri na umuombe msamaha.
 
Pole sana mkuu. Hilo sio la kuwaza, kwa kuwa walitengana na mke wake, na we ukapita nae. Watu tulipitia majanga sana, mama mkwe alipigwa mimba, sembuse hyo??
 
Ninauhusiano na binti mwezi wa pili huu. Awali nilimuuliza kama yupo single akasema ndio sasa juzi ameniambia kuwa ana mume ila walitengana na huyo mwanaume ameenda kwao kuomba msamaha na yeye siku yoyote anaenda kwa mumewe.

Sasa swali: Je, itakuwaje na tayari ni mjamzito? Na Mimi nimemwambia hiyo mimba asiitoe. Itakuwaje huko aendako?

Msaada wa mawazo wananzengo.
Hiyo mimba inakuwaje yako wakati mimba ni ya mwanamke? Hapa ndiyo wanaume wanapokosea, kitakachofuata hapo utaombwa pesa akatoe ili aendee saloon. Mimba ni mali ya mwanamke kama ikitokea amekuzawadia kuwa ni yako basi hiyo ni bahati na huna sababu ya kuhoji. Utapangwa hapo mapaka utapangika wewee jilegeze tuu one mwisho wa picha!!! Una kubaliana na tapeli huyo muongo ambaye alikuficha kuwa hana mume kumbe ni mtu na ndoa yake? Hiyo ni kesi mbayaaa
 
Kwani mwanamke anajipa mimba mwenyewe kwann huwa wanasema ninamimba yako wakati yeye ndo kabeba wewe jamaa bado sana

Back
Top Bottom