chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,388
- 24,948
Habari wanaMMU.
Hii dunia ina mengi kwelikweli.
Siyo ajabu ukasikia mwanaume kashiriki mapenzi na watu wawili au zaidi ambao ni ndugu wa damu moja mfano Mtu na mdogo au dada yake au mama na mwanae.
Yaani hao ambao ni ndugu wa damu moja ni kwamba wamechangia mwanaume mmoja pasipokujua ama kujua.
Vivyo hivyo kwa wanawake, mwanamke mmoja kushiriki mapenzi na ndugu wawili au zaidi wa damu.
Je hii wakati mwingine inaweza kuwa na maana ya kulipa kisasi? kwamba mimi nimetofautiana na wewe basi naenda kutembea na ndugu yako ili nikukomoe.
Tushirikishane, labda kwanini haya mambo yanatokea na kama ulifanya ilikuwa kwa malengo gani na nini kilikupelekea ukafanya hivyo...