Taratibu za kuoa Binti wa Kingoni.

jiwe angavu

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
19,092
35,889
Wakuu habari ya leo.
Ni mwaka sasa tangu moyo wangu umemdondokea huyu binti mrembo,cheusi mangara mwenye figa ya kibanyu halisi.

Na nmeona sasa iwe vyema kupanda levo ya juu na kumweka awe mke wangu wa ndoa.

Hivyo kwa wajuvi wa mmbo au mlina uzoefu na taratibu za kutoa mahali kwa mabinti wa kabila hili la kiongozi mkuu Zwangendaba kutokea Joba...hadi namtumbo ruvuma.

Ila mwanzoni mwa mwaka niweze kuchukua kimwali wangu kihalari kabisa.

Karibuni najua huku hakuharibiki jambo.
 
Lazima uwe na miuno feni
Kwa hyo ukienda na barua na mshenga mbele yao watakwambia ukatike Kwanzaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom