Mahoni ya treni za daladala ni lazima?

Mahoni ya treni za daladala ni lazima?

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,967
Saa 11 alfajiri linapita treni na mihoni kama yote hadi linakuamsha, na yanapigwa kama vile lengo ni kuamsha watu, hii ni sawa? Haya matreni ya daladala yamegeuka kero na kuleta presha na magonjwa kwa watu. Je, hakuna honi za kawaida tu pale inapolazimika, wao hata hakuna mtu wa kumpigia honi wanapiga tu utadhani honi ni za kuita watu. Mbona kuna siku honi ni za kistaarabu, inaonyesha kuna madereva ni waungwana.
 
Saa 11 usiku linapita treni na mihoni kama yote hadi linakuamsha, na yanapigwa kama vile lengo ni kuamsha watu, hii ni sawa? Haya matreni ya daladala yamegeuka kero na kuleta presha na magonjwa kwa watu. Je hakuna honi za kawaida tu pale inapolazimika, wao hata hakuna mtu wa kumpigia honi wanapiga tu utadhani honi ni za kuita watu. Mbona kuna siku honi ni za kistaarabu, inaonesha kuna madereva ni waungwana.
Sisi wa mikoani kusiko na ma treni ya daladala wacha tukae kimya
 
Nikilala nimelala hata tetemeko la ardhi siliskii
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
5dc591d42ca44ea3d924660ff9429941.jpeg
 
Back
Top Bottom