Kudate na watoto wa kishua

Kudate na watoto wa kishua

Jstar1

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2019
Posts
1,392
Reaction score
1,418
Asee nsiseme sana msoto wa hapa sijui ni mimi peke yangu. Ila watu tunaodate na hawa watoto tunavumilia sana.

Kutoka mpaka adanganye napo mara nyingi atakataliwa kutoka, yaani usiombe, anakupa ahadi kibao alafu hatokei.

Na akifanikiwa kutoka anapewa mda maalum wa kutoka, na hii nafasi waga wanaitumia vizuri haswa na akiondoka mpaka aje kurudi aisee so poa.

mara akinenepa makalio wazazi wake wampge beat, kuna mtoto mmoja akinywa maziwa ananenepa makalio basi wazazi wake wanazingua ety asitumie maziwa na mimi akija nakazia anywe ya kutosha.

Wazee tunaodate na hawa watoto kazi tunayo, kama kuna mtu aliwai kumdate mtoto wa kishua nae atupie kisa chake hapa...
 
Mtoa Mada umenikumbusha kitu Kazi kweli kweli wanamapenzi ya ajabu na wanapata shida kuya express kwa mlengwa na matendo wanaofanya unajua kabisa wanafosi ukaribu hawajui kuset matukio wagen kweny sekta yupo mmoja namuitwa Miss annoying kakataa kukaa kwao eti na yeye anajaribu kupanga aanze life

Ukitoka nje akijua upo nje atatoka nje ajifanye anaanika nguo anajisahau [emoji23] unakuta ananiika hadi nguo chafu akikuona
Umeshika mzinga anageuka mshaur nasaha wana tabu sana watu tumekuja kujificha mbali na dunia [emoji16] kama wakimbinzi unaleta pigo sizo

Hawa ndo wanakuaga na mapenz ya tamthiliya bora Wale wa local watoto wa kipwani wakina mwajuma hatar Sana try them at your own risk
 
Nilishadeti na katoto ka kishua flani hiv,(mwaka jana)kalikuwa form 6,katoto kalinipenda sana na bado kananielewa,baba yake ni mkuu wa kituo kikubwa tu hapa hapa mjini daslam,nmekaacha kwa sababu kana wivu kupindukia pia kwa usalama wangu kwa sababu kwao ka last born,baba ake anakapenda sana nikaona niepushe shari
 
Back
Top Bottom