sir kiduku
Senior Member
- Oct 12, 2019
- 101
- 262
Habar wanaJF bila kupoteza muda ngoja niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna mwanamke nilimpenda sana in short wote tulipendana sana lakini tulikuwa mbali mbali miezi mitatu(tulikuwa kwenye mapenzi ya mbali kwa miezi 3) tangia niwe nae na kuja kukutana naye.
Lakini mambo yakaanza kubadilika tu pindi tulipokuwa karibu akawa hapendi kuongea sana na mimi mambo yalizidi kuwa mabaya had I ikafka hatua ananikaushia tu nikimuuliza sababu anajitetea ana kazi nyingi
Sasa imefika hatua hanitafuti hadi nimtafute mimi na muda mwingine nikimtafuta hanijibu hata siku 4 hadi nafikiria sijui nimuache au vipi
Sema sitaki kumuacha mapema hii wakati bado sijapata papuchi.
Ushauri wenu wadau