Hawa ndo wanaume ninaowapenda humu JF

Hawa ndo wanaume ninaowapenda humu JF

Ma Mshuza

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2019
Posts
251
Reaction score
1,256
1. Wanaume ambayo wanaandika threads kujiongelea mambo yao au mambo general.

2. Wanaume ambao hawana matusi hata kunapokuwa na hali ya wao kuchokozwa hunyamaza au kupuuza.

3. Wanapenda kushare mambo na wenzao si wachoyo wa taarifa.

4. Si wale hujifanya wao wanajua sana kutongoza kila mwanamke.

5. Wanaojiheshimu na kuheshimu mawazo ya wengine.

Hawa wanaume wapo JF ingawa ni wachache.kuna ambao wanakuja PM kutaka wanawake ukimkataa basi anaamua kukuchafua.wengine wanakuwa na tabia za kike tena za mabaa medi.ukimkataa basi kila ukianzisha thread anakuja kuponda au kama wewe ni mwanamke atakuita mwanaume kwa kukuchagulia ID ya mwanaume ambaye anahisi wewe unamkubali.

Niwachambe na nyie vitoto vya kiume mnaokuja PM Kutongoza.mnatuma picha na namba zenu za simu kwenye picha mnaonekana hata afya hamna.kianaume kina kilo 40-70 kinakuja eti kunitongoza.mmfyuuuu..... nenda kale kwanza upate afya siyo kutafuta pa kufia.

Sijali wala nini....ndo nshasema hivooo...
 
Jf kweli huwa kuna watu baadhi unawezashindwa kuelewa akili zao,wengine hudhani tupo humu kwa ajili ya mipasho
 
Wataje kwa majina Kama unafanya hip-hop [emoji16] Pole aisee

Mi nitawatania baadhii rafik zangu ila huo unyokosti wa kuwafuata piemu kuwatongoza kuwafuata tu hapana hawa walimbwende huku hapana aisee [emoji16] huo ungese sifany msinitafsiri vibaya ma boblai

[emoji16] cheki wanawapaka shombo wanawatemea shit kuna masela mnayumba kinyama
 
1. Wanaume ambayo wanaandika threads kujiongelea mambo yao au mambo general.

2. Wanaume ambao hawana matusi hata kunapokuwa na hali ya wao kuchokozwa hunyamaza au kupuuza.

3. Wanapenda kushare mambo na wenzao si wachoyo wa taarifa.

4. Si wale hujifanya wao wanajua sana kutongoza kila mwanamke.

5. Wanaojiheshimu na kuheshimu mawazo ya wengine.

Hawa wanaume wapo JF ingawa ni wachache.kuna ambao wanakuja PM kutaka wanawake ukimkataa basi anaamua kukuchafua.wengine wanakuwa na tabia za kike tena za mabaa medi.ukimkataa basi kila ukianzisha thread anakuja kuponda au kama wewe ni mwanamke atakuita mwanaume kwa kukuchagulia ID ya mwanaume ambaye anahisi wewe unamkubali.

Niwachambe na nyie vitoto vya kiume mnaokuja PM Kutongoza.mnatuma picha na namba zenu za simu kwenye picha mnaonekana hata afya hamna.kianaume kina kilo 40-70 kinakuja eti kunitongoza.mmfyuuuu..... nenda kale kwanza upate afya siyo kutafuta pa kufia.

Sijali wala nini....ndo nshasema hivooo...
Niwachambe na nyie vitoto vya kiume mnaokuja PM Kutongoza.mnatuma picha na namba zenu za simu kwenye picha mnaonekana hata afya hamna.kianaume kina kilo 40-70 kinakuja eti kunitongoza.mmfyuuuu..... nenda kale kwanza upate afya siyo kutafuta pa kufia.

Sijali wala nini....ndo nshasema hivooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yesu kristo[emoji134][emoji134]
Bora yangu sijawahi mtongoza mtu humu

Back
Top Bottom