Wanawake mnakwama wapi?

Wanawake mnakwama wapi?

Alvin A.

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2016
Posts
2,865
Reaction score
3,640
.

Wanawake wawili walikuwa wakisimulia kilichotokea usiku baada ya waume zao kurejea nyumbani kutoka kazini.

Mwanamke 1
Shoga yangu, jana ilikuwa siku mbaya kwangu mume aliporudi kutoka kazini alifika nikamuwekea maji bafuni alipomaliza kuoga nikapakuwa chakula tukala nikitegemea kuwa akimaliza kula atanitoa aut, alipomaliza kula akaelekea chumbani na kulala nami ikabidi tu nimfate tukalale.

Mwanamke 2
Mimi sijui niseme nini kifupi Mungu kanipatia anipendaye, yaani alipofika nikamwabia tutoke muda huo huo tuliondoka sikupata hata tabu maana ameenda kuoga huko huko na tulikula hotelini,
Wakati wa kurudi sasa hatukuchukua hata taxii tulirudi kwa mguu akiwa ananikumbatia na kunipa maneno ya mahaba.

Upande wa pili waume za wanawake hao wakiwa kazini walikuwa wakiongea:

Mume wa mwanamke 1:
Rafiki yangu, mke wangu ni zaidi ya malikia yaani ananijari kwa kila hali, jana nimekuta katayarisha kila kitu, nilioga maji mazuri na alikuwa kapika chakula kitamu kifupi nampenda sana siwezi kumsariti.

Mume wa mwanamke 2
Rafiki yangu, nakuonea wivu mimi nimerudi sijakuta chakula hata maji tu ya kuoga ikabidi tu nimchukue nitoke nae aut, bahati mbaya sikuwa na pesa ya kutosha baada ya matumizi hela yote iliisha nikakosa hata ya nauli ya kuturudisha nyumbani, ilibidi kutembea nikajifanya nampenda nikawa namkumbatia na kumpumbaza kwa maneno ya mahaba. tulitembea kwa mguu hadi nyumbani.

Wanaume anahita utulivu na moyo wa faraja hasa anaporudi na stress za kazini.

FB_IMG_1570809856120.jpeg
FB_IMG_1570626848242.jpeg
 
Kimfaacho mtu chake, moyo wa mtu kichaka.

Hizo ndoa au hayo mahusiano wasipoambiana ukweli watachokana haraka na kuachana...

Ukweli himuweka mtu huru.
 
Kimfaacho mtu chake, moyo wa mtu kichaka.

Hizo ndoa au hayo mahusiano wasipoambiana ukweli watachokana haraka na kuachana...

Ukweli himuweka mtu huru.

ukweli haatuutaki ndio tatizo lenyewe...na ukweli ni kwamba watu sasa tunatiumiana wacha watu tugegedane ndoa haina maana tena.
 
Na hapo ndo mashokolo mageni huanza...

Wanaoumia na kuathirika ni matoleo ya ndoa aka watoto.
Mie nashindwa kuelewa kabisa y watu tynaumiza vichwa na ndoa. Wengi wetu zile prerequisites za ndoa hatuna. Mlishagegedana huko alafu leo hii mwataka muingie kwenye ndoa alafu zikiwashinda mnashangaa.
Ni sawa na mtu form four kapata d ya maths alafe eti naye anataka asome pcm sii kujidanganya tuu... Hana vigezo ndio sawa na sie watu hawana vigezo vyakuingia kwenye ndoa ila basi tuu tuna force mambo.
Tugegedane tuu wajameni au vipi
 
Kimfaacho mtu chake, moyo wa mtu kichaka.

Hizo ndoa au hayo mahusiano wasipoambiana ukweli watachokana haraka na kuachana...

Ukweli himuweka mtu huru.
[emoji483][emoji483][emoji56]
 
Back
Top Bottom