msaada pLz japo sio jukwaa lake

msaada pLz japo sio jukwaa lake

netti mimi

Senior Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
147
Reaction score
109
Habarini jmn ninamdog wangu anaitaji msaada mweny uwez wakumshik mkono jmn kapga kozi ya jkt kamaliza sasa nafas zimetok za jwtz lakin kama unawakukushik mkono ni mtihan jmn naomb msaidiz aweze kwenda msaada ata chocht kitu atapewa bt atufanikishe plz msinitusi najua sio jukwaa lake bt naitaj msaada karib inbox ..Connection jmn
 
Chochote kitu unamaanisha hongo?kuwa makini Pccb wapo kazini bosi wao mmoja kafukuzwa kazi jana!!anyway subiri wenye connections wanakuja
 
Acha ujinga Wewe utalia!!!!
Endelea utapata unachokitaka
 
Back
Top Bottom