Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu , nilikuwa safarini kwa wiki moja .Sasa nimerudi nimekuta mafuta yangu ya KY Jelly yametumika sana....na pale home nilimwacha kimada wangu na madogo flani . Ushauri wenu wakuu
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Mimi binafsi hakuna sikipendi kama shemeji/wifi yenu aniombe ruhusa ya kwenda Saloon. Sasa sijui wenzangu nanyi kitu gani ambacho hampendi kuombwa na wapenzi wenu
7 Reactions
92 Replies
12K Views
Nimekuwa kijana mwenye umri wa miaka 35 lakin kuna vitu vingi nimekutana navyo ambavyo vimeniharibu kabisa akili mpaka kufika hatua ya kutofikilia kuoa na nimepigana sana na hari hiyo kiukwel...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Yaani nimeamka sina habari kama jana usiku nilisex na demu. Nachukua simu nakuta kuna namba nilibip saa sita usiku. Nacheki whatsapp nakuta msg dogo ananiambia nakuona bro umemtoa wapi uyo dem...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Salaam wananzengo, Jana nilisafiri kwenda kumtembelea rafiki fangu Fulani huko wilayani. Jamaa kaja stand kanipokea, tumekwenda kwao, ile nafika nakutana na mama mtoto wake, daaah! Jinsi...
5 Reactions
24 Replies
4K Views
Must Read..... WORDS OF ADVICE FOR LADIES No man ever wants a 'crazy' wife! It is only guys who want a 'crazy' girlfriend, so don't be deceived. A guy who wants you to party hard every weekend...
1 Reactions
1 Replies
594 Views
Ni kawaida kwa sisi wanaume kumtongoza mschana au mwanamke uliemuelewa, na kila mtu ana mbinu zake za kutongoza ili akubalike. Ni majibu gani ambayo hupendi kuyasikia ukiwa unatongoza, Mimi...
7 Reactions
225 Replies
29K Views
Habari zenu wana Jf..!! Niingie moja kwa moja kwenye Mada...niliwahi kukutana na msichana mrembo sana,basi nilifanya yanayotakiwa kufanywa mpaka nikawa na mahusiano nae..!!lakini huyu msichana...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Siku hizi maisha yamebadilika sana kulinganisha na vizazi vya zamani, mbadiliko makubwa ya sayansi na teknolojia yamepelekea mambo mengi hasi kumaliza suala zima la maadili na utamaduni wa jamii...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Kazi ipo!! Hakuna anayeweza shindana na maneno ya kinabii. Hata uwe nani, hata upinge vipi huwezi kuzuia unabii kutimia. Wanawake wengi sasa ni kama hawaamini kinachoenda kutokea lakini ukweli...
30 Reactions
249 Replies
21K Views
t can be quite baffling how a woman could not know that her man is gay after dating him for sometime. While the stereotypically view of gay men are as flamboyant, cross dressing wannabe females...
1 Reactions
49 Replies
30K Views
Hey.. Nini faida na hasara zake? Tusaidiane kushtuana hapa. Ok ngoja nianze mie: #NILIKUWA HURU Yes nilikuwa sibanwi sana na uhusiano, tukizinguana tunapeana off tukja kukutana tunaswitch on...
0 Reactions
4 Replies
699 Views
Wanajamvi nimekuwa nashauku ya kutaka kuonana na mtu aliyesoma shule twaja hapo juu kwenye miaka hiyo ya tisini.Milima haikutani ila binadamu hukutana
1 Reactions
42 Replies
7K Views
Mm ninamahusiano na mtu kwa miaka kadhaa sasa!! Kuna wakat alinidukua watsap nikajua nikamtoa!!! Saiv nikiwasiliana na mtu kwa normal call. Lazima anakuja nifikishia ujumbe au kuongea maneno...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi, MIAKA 27 NA KWENDA JUU ni miaka yenye changamoto sana kwa wanawake, kwani katika miaka hii wanawake wengi wasipoolewa hujikuta wakiwa na pupa na mahusiano na matokeo yake kugeuka...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ilikua ni asubuhi, alifungua macho yake taratibu. Akanyosha mkono kumgusa mkewe. Hakukuwa na mtu. Mkewe alikua ameshaamka. Akamsikia kwa mbali mkewe akiimba wimbo huu...
9 Reactions
36 Replies
3K Views
Wakuu bwana yesu asifiwe. Kama heading inavyosoma wacha niende direct kwa topic. Jaman kuna wanawake wavumilivu sana kwenye mahusiano mnaosema wanawake hawa wamepotea hawapo nawapinga huyu shem...
13 Reactions
53 Replies
6K Views
Habari zenu waheshimiwa wote mliopo humu JF. Bila kupoteza muda naanza na mada straight. Kama ilivyo ada au desturi yetu waswahili tunapokutana popote nje ya mipaka yetu huwa tunaishi ki undugu...
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Salaam wakuu? Maisha magumu si utani na kwa wale wenye afueni Mshukuruni Mungu kwa sana msikufuru. Nimekuwa nikifikiria sana ni kwanini sisi wanaume hasa vijana kupata maendeleo ya kiuchumi ni...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…