On and off na changamoto zake

On and off na changamoto zake

xng hua

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2016
Posts
3,301
Reaction score
5,379
Hey..

Nini faida na hasara zake? Tusaidiane kushtuana hapa.

Ok ngoja nianze mie:

#NILIKUWA HURU Yes nilikuwa sibanwi sana na uhusiano, tukizinguana tunapeana off tukja kukutana tunaswitch on.

#UHURU Hakuna kilichokuwa kinanibana katika mapenzi na hapa ndipo pazito, tuje katika hasara zake.

#MUDA Lupotezeana muda sababu naamini huwezi kujenga uhusiano serious.

#LOVE (KUPENDA) Unaweza ukajikuta unapenda kweli lakini hauwezi kujionyesha ili kulinda uhuru wako.

#UKICHECHE Hes automatic unakuwa malaya sababu haubanwi so unaweza kuwa na mademu kama wote ila kuna magonjwa hapa.

#HEART BROKEN Vipi demu umpendae ambaye mmepeana off ukajua mwenzio ana mtu?

Kwa ufupi tuu ....je wewe unauchukuliaje uhusiano wa aina hiii?

To be honest nimekoma siutaki tena ni baada ya moja ya mademu zangu niliokuwa nampenda sana (ila nilikuwa naficha upendo wangu) kuolewa

Vipi kwa upande wako mdau?
 
"Mapenzi ya sasa si ruksa kushikiana simu"

Nitarudi maana ni jumatatu ya moto
 
"Mapenzi ya sasa si ruksa kushikiana simu"

Nitarudi maana ni jumatatu ya moto
ni kweli kabisa kuhusu cm

vipi lakini ushawah kuingia kwe mahusiano ya aina hii? ulifurahia au uliona ujinga tuu?
 
mimi sio "mtumwa mkuu.
by the way tfanye umeshinda

haya vipi uhusiano wa on and off kwa upande wako ?
Kukubaliana na mahusiano ya On and Off ni sawa na kujenga kwenye kiwanja cha kuazima
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom