Nimetembea na Wanawake wengi Lakin huyu kiboko Yao

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,209
39,020
Wakuu bwana yesu asifiwe.
Kama heading inavyosoma wacha niende direct kwa topic. Jaman kuna wanawake wavumilivu sana kwenye mahusiano mnaosema wanawake hawa wamepotea hawapo nawapinga huyu shem wenu aisee sijui niseme nn, tunagombana sana tu ofcoz ni kawaida kwa wapendandao kugombana na kupatana.

Ni mwanamke kwel ambae kajitoa kuwa na mimi, sio kwasababu na kazi na pesa hapana, amekuwa msaada sana kwenye kushape my life. Kuna vitu ambavyo nimeanza kuacha mfano mademu, matumiz mabya ya pesa na Pombe. Ni mwanamke aliyeweka mapenzi mbele na sio pesa kama madem wengine. Akiomba pesa bhs jua kweli anashida na atakuambia anataka ya nini.

Ukipata demu anejielewa kwa zama hizi usije thubutu aende, nilishapata baht nyingi sana lakini hii ya sasa sifanyi makosa. Katika madem wote nloruka nao hyu ni special anakaa na ww anakueleza fanya hv. Mungu anisaidie nisije kumwacha. AMEN
 
Ukiwa na shida ni lazima uwe mpole
 
Imedaiwa sana humu jukwaani kuwa "Mpe Mwanamke Pesa na Sio Moyo". Nakuangalia kwa mbali tena kwa chati jinsi taratiiibu lakini kwa uhakika, ukitoa MOYO badala ya FEDHA. Usije lalama humu!

Bazazi

Hahahaha moyo hajapewa bado ntampa mimba tu
 
naona unajitekenya....
kuna wanawake hawaombi pesa coz anakua kakupenda kwel ila kuna watu wanamla coz anawachuna, hivo nakupa pole sana

Huyu sidhani mkuu, so dem wa njaaa kwao wako vzr pia
 
Similar Discussions

13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom