Levels baby
JF-Expert Member
- Sep 26, 2019
- 832
- 770
Nimekuwa kijana mwenye umri wa miaka 35 lakin kuna vitu vingi nimekutana navyo ambavyo vimeniharibu kabisa akili mpaka kufika hatua ya kutofikilia kuoa na nimepigana sana na hari hiyo kiukwel mwenzenu nimeshindwa na huku kila siku nagombana na wazazi kuhusu suala hilo lakini ilifika kipindi nikawaambia ukwel kuwa siji kuoa.
Sababu zinazonipelekea huko;
1. Always nimekuwa niki date na mabinti wa miaka 19 mpaka 23,yaani mwanamke akiniambia nina below 18 naachana nae na akiniambia nina 23 above naona tatizo la kuja kuniganda mbeleni.
2. Wanawake wengi wa siku hizi nawaona copy sana sijui sababu ya kuishi mijini hata sielewi mwenzenu, so yeyote ninae kutana nae huwa siwatamani zaidi nione ana sura bado mbichi za miaka niliyoitaja hapo juu.
3. Hata nikikaa na mwanamke miaka miwili labda kanivumilia ukivuruge wangu bado age yake ikigonga 24 tu hapo hapo naachana nae, Later naanza kujilaumu kwann nisingekomaa nae labda mind yangu ingechange ningeoa lakini holaa. narud kutafuta age ninazozipenda tena.
4. Toka kuzaliwa sijawah kumpenda mwanamke zaidi nawatamani tu,then tukishakuwa kwenye mahusiano naishia kuwatesa sana kiakili mana mostly of the time anaona sina time nae..Hata mwanamke niliezaa nae aling'ang'ana kupigania penzi lake kwangu lakini ilikuwa ngumu mana sikuwah kumpenda ila yeye alinipenda kiasi kwamba ali risk vitu vingi kwa ajiri yangu.
5. Uwezo wangu wa kawaida kifedha ingawa natoka familia ambayo baba(Daktari) na mama(Mwalimu mkuu) mstaafu wanajiweza kiuchumi vizuri nami naishi kwa kujitegemea ingawa nina backup kubwa sana ya wazazi so naona kama nikioa mwanamke nitampa nini wakat uwezo wangu ni kupata hela ya kula kulipa kodi chumba sebule na kuvaa vya ziada wananipa wazazi.
6. Mentality yangu inaniambia nikioa mambo ya kidunia namwachia nani mana nimezoea muda mwingi kukaa na washikaji kunywa kufurahi kukaa na hao wanawake zangu wengine lakini wakifika age hiyo hapo juu nawa dump.
Ushauri wenu ni muhimu ndugu zangu mana hapa nilipo hata sielew nitafanya nin,sababu nyumbani nikirud kila siku ugomvi na wazazi na dada zangu kila siku simu za kutosha mana mimi wa kiume peke yangu na ndio Last born macho yao wote kwangu.