Ndo nakumbuka sasa kwamba jana usiku nilisex na demu niliyekutana nae wakati narudi home.

notifeki

JF-Expert Member
Jan 4, 2013
402
281
Yaani nimeamka sina habari kama jana usiku nilisex na demu. Nachukua simu nakuta kuna namba nilibip saa sita usiku. Nacheki whatsapp nakuta msg dogo ananiambia nakuona bro umemtoa wapi uyo dem, saa sita usiku. Nakuta nilimjibu baa. Ndo nakumbuka jana nilikuwa maeneo flan napiga bia, ile nimemaliza naondoka zangu nakutana na madem watatu wanaingia, nikamdaka moja nikamuambia nakaa hapo mbele tu siyo mbali. Pombe inapoteza kumbukumbu sana hata sikumbuki sana shoo nzima ilikuwaje baada ya kumaliza nilimtoa nje nikafunga milango nikalala, bora angebaki then asubuhi nipige shoo huenda ningeenjoi
 
Aahahahahahahaa ukute uliishia kunawa pombe zikakuzidi ukahisi ushapiga vitatu. Kabla hujaendelea kushangaa kagua mifuko yako ya sarawili na kabatini kwako saa, wallet n.k. kama bado vipo...
 
Yaweza Kuwa Hata Papuchi Yenyewe Hukuonjeshwa Umeishia Kupigishwa Deki Tu.
Vipi Lakini Upepo Wa Kisulisuli Haujapita Na Wallet Yako?!.
 
Kilakitu kiko salama ukitoa elfu 10 niliyomuahid kabla ya shoo
 
Aahahahahahahaa ukute uliishia kunawa pombe zikakuzidi ukahisi ushapiga vitatu. Kabla hujaendelea kushangaa kagua mifuko yako ya sarawili na kabatini kwako saa, wallet n.k. kama bado vipo...
Ila kiukweli hakuniiibia chochote ila konyagi nilizopiga jana sizani kama nilipiga bao maana ile unaweza ukagonga shoo hadi ukachoka mwenyewe ukamuambia tuu aondoke ulale zako hata hujapiga bao
 
Haya mambo ya kunywa mpaka unapoteza kumbukumbu siku upepo wa kisulisuli utakupeperusha utajikuta upo ghetto kwa mtu hauna hata kipande kimoja cha nguo huku ukiwa umelala kifudifudi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom