Chinedu5
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 784
- 2,815
Habari zenu wana Jf..!!
Niingie moja kwa moja kwenye Mada...niliwahi kukutana na msichana mrembo sana,basi nilifanya yanayotakiwa kufanywa mpaka nikawa na mahusiano nae..!!lakini huyu msichana kiganja chake cha mkono mmoja kilikuwa kimepinda,kwa maelezo yake anasema alipata ajali akiwa mdogo ndo akaumia....kwa muonekano wa harakaharaka huwezi kuona hiyo kasoro,mpka umtizame kwa ukaribu,na hicho kiganja anaweza akafanyia shughuli zote!!
Sasa shida ilikuja huyu binti hakuwahi kujiamini hata mara moja,mkipishana kauli kidogo,usipo pokea au kujib calls zake basi apo atalalamika,atalaumu kunung'unika na kauli yake kubwa ni "kwa sababu mimi ni mlemavu....."...kiukweli hii kauli ilikuwa inanikera mno na kunihuzunisha muda mwingine!...nilijitahidi sana kuvumilia(mimi ni mvumilivu sana[emoji2][emoji4]) lakini kama binadamu ikafika kipindi nikachoka,baada ya kumweleza bila mafanikio...ilivyo bahati nkapata safari ya kwenda mkoani na ikawa njia rahisi mimi kuachana nae politely basi tukatengana!!
Sasa jana,baada ya muda mrefu kupita akanitafuta,sijui katoa wapi namba yangu,yaani karudi mzima mzima,nimemueleza kwa sasa nina mahusiano mapya ila yeye hajali hilo yupo tayari kwa lolote,sipo tayari kuwa nae kwa sababu ya hiyo tabia yake,mana ata nikisema "hit and run" naona ataumia sana na sitaki kufanya huvyo kwa sababu ananipenda sana kupita maelezo!!nipo dilemma sijui hata nmfanyaje au nimueleze kitu gani asiumie[emoji17][emoji17]