Ndoa sio kipimo cha mwisho cha furaha. Utaolewa tu...

Ndoa sio kipimo cha mwisho cha furaha. Utaolewa tu...

Alvin A.

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2016
Posts
2,865
Reaction score
3,640
Yeyote anaekupa pressure na kukuongopea kwamba NDOA ndio kilele cha furaha kwa mwanamke ni kwamba anakudanganya..NDOA sio Ultimate happiness kwa mwanamke.

My Black sister hauhitaji mpaka NDOA ndio uwe na furaha. Unaweza ukawa na furaha wewe kama wewe. Ndio, inatakiwa kufurahia maisha yako ya U-single..hauwezi kuishi maisha ya huzuni kisa haujaolewa bado, ni vibaya mno kuja kuolewa kutokana na internal au external pressure.

Inuka sasa, tumia maisha yako ya U-single kukamilisha ndoto zako, career yako na kuendelea kuji-upgrade. Wekeza nguvu zako katika kujiendeleza, kujithamini na kujipenda.

Kila siku jiangalie kwenye Kioo na jisemee moyoni..."I just love me".

I don't regret to be me!
I don't regret to be where I am now!
I don't regret all challenges I have passed through, anything which did not take away my life because everyday God has given me a chance to build new part of my life.[emoji7][emoji7][emoji7]

Sijutii kuwa mimi ..
Sijutii kuwa hapa nilipo...
Sijutii changamoto nilizopitia chochote ambacho hakijaondoa uhai wangu kwa sababu kila Sikh Mungu amenipatia nafasi ya kutengeza upya sehemu ya maisha yangu.

Ndoa itakufuata tu wakati tayari ukiwa na furaha kwa sababu wanaume waoaji hawana mbwembwe na hawalazimishwi...

As long as wewe ni wife material, Haitajilisha ni muda kiasi gani, lazima utaolewa tu na utakuwa na NDOA ya furaha. Haitajalisha shetani na washirika wake wamepanga mipango gani mibaya kwako, destiny yako imeshaandikwa na mwenyezi Mungu hivyo lazima itimie. [emoji1331][emoji1331]

Haya unayopitia hivi sasa ni kama darasa la kukuandaa kuwa mtu jasiri, anaejiamini na msaidizi bora...believe it You shall marry and live happily ever after.....#AMEN

#DateSmart
#MarrySmart
#MarriageIsBeautiful

#Upepo wa Kisulisuli sio your destiny

Rise and shine girl!!
FB_IMG_1571543470820.jpeg
FB_IMG_1571580429548.jpeg
 

Attachments

  • FB_IMG_1571580429548.jpeg
    FB_IMG_1571580429548.jpeg
    55.1 KB · Views: 8
Nimekuja mbio nikajua Uzi wako huu utaweka picha za wanawake wenye chura kama nyuzi nyengine Daah nakuta picha ya muuni anaingia kweny mkataba wa life death situation
 
Nyuzi kama hizi mtoe tahadhari kwa ajili ya wanawake tu.

Wengine twasoma unaona kama vile umekuwa mwanamke. Damn!.
 
Nimekuja mbio nikajua Uzi wako huu utaweka picha za wanawake wenye chura kama nyuzi nyengine Daah nakuta picha ya muuni anaingia kweny mkataba wa life death situation
Endelea kulewa baadae utaona chura[emoji1787]
 
Nyuzi kama hizi mtoe tahadhari kwa ajili ya wanawake tu.

Wengine twasoma unaona kama vile umekuwa mwanamke. Damn!.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sometimes soma heading tu!
 
Mkuu, kwani wewe ni jinsia gani...??
Ebu kwanza naomba ujibu hili ili mimi na my Mwajuma long sandlers hapa nyumbani tumalize ubishi
 
Back
Top Bottom