Saikolojia: Dalili kwamba mkeo haridhiki na utendaji wako wa kitandani

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,319
33,125
  1. *DALILI KWAMBA MKEO HARIDHIKI NA UTENDAJI WAKO WA KITANDANI*

    ......
    1f337.png
    1f337.png
    _Tendo bora la ndoa linatakiwa kuandamana na uwezo wa mawasiliano yaliyo wazi na bila soni. Lakini, ukiwa miongoni mwa wale wasiokubali mapungufu na mkeo akawa mwenye soni, atasita kukueleza kuwa haridhiki na utendaji wako wa kitandani. Lakini, unaweza kulielewa hilo kupitia njia maalumu au kwa kuangalia ishara zifuatazo:_
    1f337.png
    1f337.png
    *1. Utaona anazungumza na watoto kwa ukali kiasi kwamba ukiangalia sababu ya huo u...kali huioni.*
    1f337.png
    1f337.png
    _2. Utaona matumizi yanaongezeka, huku akizidisha kujinunulia vitu binafsi, badala ya vitu vya wote._
    1f337.png
    1f337.png
    *3. Uzito wake utaongezeka, kwa sababu anakula kwa msukumo wa mihemko.*
    1f337.png
    1f337.png
    _4. Atakuonesha ishara ambazo ukiwa pamoja na marafiki zako hakuna anayezielewa tofauti na wewe._
    1f337.png
    1f337.png
    *5. Anakurushia maneno yenye mafumbo kila anapopata fursa.*
    1f337.png
    1f337.png
    _6. Anakuwa hana msisimko kitandani, anakuwa baridi kama barafu, atakupa mwili tu, lakini moyo uko sehemu nyingine kabisa._
    1f337.png
    1f337.png
    *7. Utamuona anakosa utulivu mara kwa mara, na wakati mwingine anaweza kuonesha hali ya kuwa na mchecheto.*
    1f337.png
    1f337.png
    _8. Huonekani kuwa una jema lolote, anakukosoa kwa kila unalosema na kulifanya._
 
Duh! Hatari sana.
Lakini wengine sio kwamba ni tabia zao tu?
Unajuwa usipo mfikisha mke wako kileleni anakuwa na tabia ya ukali wa kupita kiasi mkuu jaribu kuchunguza maneno yangu utakuja siku kuniambia maneno yangu yana ukweli ndani yake. Sio tabia zao ni nyege nyingi zilizopo mwilini wewe Mume unatakiwa uzimalize kwa kumfikisha mke wako kileleni.
 
Mzizi mkavu tulikumisi jukwaani
Mkuu majukumu yalinishika majukumu makubwa ya kuwatibu wagonjwa wenye Maradhi sugu yasiyotibika Ma-Hospitali kama Maradhi ya Upungufu wa kinga za Mwili aka Ukimwi,Maradhi ya Hepatıtıs B Virus, Maradhi ya Saratani, Maradhi ya Tezi Dume ,Maradhi ya Kisukari, na maradhi mengine sugu nilikuwa nipo busy na Wagonjwa wangu kuwatibu na kuwapa Ushauri wa Dawa za Asili ili wapate kupona sasa nitaturudi muda siı mrefu na Hadithi zangu za kusisimuwa..........
 
Unajuwa usipo mfikisha mke wako kileleni anakuwa na tabia ya ukali wa kupita kiasi mkuu jaribu kuchunguza maneno yangu utakuja siku kuniambia maneno yangu yana ukweli ndani yake. Sio tabia zao ni nyege nyingi zilizopo mwilini wewe Mume unatakiwa uzimalize kwa kumfikisha mke wako kileleni.
Ni kweli mimi nikimaliza muda mrefu bila kuliwa nakuwa km chui mwenye mimba full hasira na kubweka
 
Back
Top Bottom