Vijana msikosee kuoa, nmeharibika baada ya kukosea kuoa

UNIQUEMAN1

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2018
Posts
378
Reaction score
450
Nina mtoto mmoja wa kike. Mwanamke huyu nimegundua hatuendani kabisa mwanzo hakuwa hivi. Yupo ambaye nilikuwa nampenda.

Nalia[emoji24][emoji24][emoji24]. Mimi ni mpumbavu tu. Inakuwaje naishi na mwanamke eti kwa kuangalia sura?

Nimefika huku. [emoji24][emoji24]

IMG_20191013_122859_5.jpeg
 
Nina mtoto mmoja wa kike. Mwanamke huyu nmegundua hatuendani kabisa mwanzo hakuwa hivi. Yupo ambaye nlikuwa napenda. Nalia[emoji24][emoji24][emoji24]. Mimi ni mpumbavu tu. Inakuwaje naishi na mwanamke eti kwa kuangalia sura??? Nimefika huku. [emoji24][emoji24]

View attachment 1231727
Mbona unakunywa pombe ya pesa ndogo ivo???? Unakunywa kakonyagi ka efu3?????
 
Vumilia tu, si huwezi kumwacha bana.
 
Back
Top Bottom