Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,550
Asanteni sana wote mlionishauri niachae nae nifocus kwenye maisha yangu.
Ni hivi yule girlfriend wangu Hajir kaanza kunitafuta mwenyewe.
Kumbukeni kuwa nilifuta namba zake baada ya yeye kuniacha na kuamua kuolewa.
Ni mwezi tu umepita kaanza kunitafuta. Sijamtukana ila nimemwambia mi nishamsahau na sasa na focus na niliyenae.
Ukiachwa achika na sahau kabisa. Muda ni Tiba nzuri sana.
Asanteni JF kwa ushauri mzuri.