Habarini tena waungwana. Poleni na majukumu ya siku nzima, ok niende moja kwa moja.
Samahanini kwakuwa ni ndefu kidogo kama ntawachosha.
Nina ndugu yangu ambaye ni mtoto wa baba mdogo...
1. Kusomesha mchumba
2. Kujenga nyumba kwenye kiwanja cha mwanamke/mke wako.
3. Kuweka jina la mwanamke/mke wako kwenye umiliki wa mali.
4. Kutunza fedha kwenye akaunti ya mwanamke/mke wako.
5...
Hivi umewahi kujiuliza mbona jamii iko negative na watu wazima wasiokuwa na watoto?
Unakuta mtu kachelewa kuoa/kuolewa hafu wananzengo wanamuona kama sio wa kawaida flani hivi . Wakati mwingine...
Habari za weekend..
Eti inasemekana kwamba mwanamke akimpenda mwanaume kwa dhati huwa hamuombi hela...
Sasa wanume tuelewane kuwa wanaoomba hela ni wa kula na kusepa tu.... Hawatupendi...
Kila thread kuhusu namna na ushuhuda wa wanawake kukunwa vizuri hadi kukojoa zinaanzishwa na wanaume kwa nini?
Kwa nini muanzishe nyie wakati wanaokunwa ni wengine, waachieni wanawake wenyewe...
Naomben mnisaidie nifanyeje?
Mimi Ni mama wa mtoto 1 ana 5yrs
Nimeolewa ila mtoto nilizaa na mwanaume mwingine kabla sijaolewa yupo nyumban,
Sasa moyo unaniuma kwel mtoto kumuacha kwa mama...
Naamini mko poa,
Watu wengi tunapata matatizo na hatujui sababu ya matatizo tunayoyapata.
Mara nyingi zinaweza kuwepo sababu mbalimbali ila kuna jambo naona liko sana humu na nahisi ni laana...
Habari wana jamiii.
Naombeni ushauri kwa hili jambo linalonitatiza.
Nilidumu kwa muda wa miaka 9 katika ndoa yangu kabla ya kuamua kumuacha Mke wangu japo katika miaka hiyo nimeishi maisha ya...
Sio kila kitu kinachosemwa na wengi ni sahihi siku zote. Kumuhudumia mtu umpendaye ni kitu cha kawaida na kimekuwepo tangu kuanza kwa maisha ya mwanadamu chini ya jua. Nadhani hii kauli ya...
Mke alisimama kwenye meza ya chakula na kumuacha Mama Mkwe wake mzee kwenye meza ya kula. Mume naye alisimama kwa mshangao ili ajue kwa nini Mkewe ameondoka ghafla kwenye meza ya chakula.
Mume...
WHY Hon.BARACK OBAMA SHOULD GIVE ME HIS DAUGHTER TO BE MY WIFE APART OF MY ECONOMIC PROBLEM...
1. Hon. Obama has to remember his past life lived before at teenage and Youth life when he...
Msichana akitaka NGUO mpya wala
hahangaiki sana... Anaingia tu kwenye PHONEBOOK yake..
anachagua Madanga yake 20 anayoyaamini kwamba hayawezi kumuangusha...
Anatype Meseji tamuuu ambayo kila...
On the first place I bet that it won't be that easy, am tough on those thing and stick to my decisions. I go father to bet by any means and situation I won't allow it neither let it flow...
Hatimaye niliochepuka nao wote wana vitambi, kinachoniumiza kichwa kwa sasa ni hao watakaozaliwa wanahitaji kula vizuri, afya bora, elimu nzuri n.k ama kweli ukubwa ni majukumu
Kijana mwenzenu nimekwama nahitaji ushauri wenu, Mimi ni mkristo ila nimetokea kumpenda binti mmoja wa kiislam. Je, kuna madhara yoyote naweza kuyapata endapo nitaamua kuwa na huyu binti?
Tafiti mbalimbali zinaonyesha kuwa moja ya mambo muhimu zaidi katika malezi ni fursa ya watu wazima (wazazi au walezi) kuzungumza na kuwasikiliza watoto. Kupitia mwingiliano huu wa kila siku...
Tumeshaimba sana huu wimbo, tatizo lenu especially nyie wavulana hamsikii..
Narudia kuwakumbusha mchumba hasomeshwi! Au ukiamua kumsomesha basi ni sadaka kwa Mungu wako!!
Usijipe guarantee kwa...