Mambo 10 marufuku kwa wanaume

leroy

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
1,589
2,140
1. Kusomesha mchumba
2. Kujenga nyumba kwenye kiwanja cha mwanamke/mke wako.
3. Kuweka jina la mwanamke/mke wako kwenye umiliki wa mali.
4. Kutunza fedha kwenye akaunti ya mwanamke/mke wako.
5. Kumwamini mwanamke/mke wako kwa 100% (mwamini kwa mama yako tu kwa kiwango hicho au zaidi)
6. Kumwita mke wako mama.
7. Kujenga ukweni (jenga kwa wazazi wako)
8. Kupuuza neno lolote lenye welekeo wa dharau, kejeli, au kubezwa na mwanamke/mke wako.
9. Kutegemea mapenzi kutoka kwa mwanamke/mke wako sawa sawa na unavyotamani/unavyotaka iwe.
10. Kulipa mahali kubwa na kufanya sherehe kubwa ya ndoa yako.
 
.
IMG_20191019_102221.jpeg
 
Unajua kuna vingine umeongea lakina naona hakuna logic hapo. Mwanamke mnamchukulia sio sawa
 
Jamii ambayo haijui hatari ya kusomesha mchumba, itaweza kuitoa ccm madarakani??
 
Umeongea ukweli mtupu kwa 100%

Usipoelewa basi ujue utakuwa kama huyu jamaa mwenye hii nyumba.
1569521945715.jpeg
 
Kumwamini mwanamke Kwa 💯 ni upimbi wa standard gauge hata Mungu atakuona bonge la fala....
 
Back
Top Bottom