Hatimaye niliochepuka nao wote wana vitambi

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
40,592
Reaction score
63,090
Hatimaye niliochepuka nao wote wana vitambi, kinachoniumiza kichwa kwa sasa ni hao watakaozaliwa wanahitaji kula vizuri, afya bora, elimu nzuri n.k ama kweli ukubwa ni majukumu
 
Kwakili hizo huwezi ukawa Baba wewe......I doubt
 
Hatimaye niliochepuka nao wote wana vitambi, kinachoniumiza kichwa kwa sasa ni hao watakaozaliwa wanahitaji kula vizuri, afya bora, elimu nzuri n.k ama kweli ukubwa ni majukumu
Subiri majibu ya DNA dogo.
Usijimwambafai bure utakuja kulea watoto was wenzio
 
Back
Top Bottom