Mke alimkasirikia Mama Mkwe wake

Mke alimkasirikia Mama Mkwe wake

Alvin A.

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2016
Posts
2,865
Reaction score
3,640
Mke alisimama kwenye meza ya chakula na kumuacha Mama Mkwe wake mzee kwenye meza ya kula. Mume naye alisimama kwa mshangao ili ajue kwa nini Mkewe ameondoka ghafla kwenye meza ya chakula.

Mume
kwa nini umeondoka kwenye meza ya chakula? Mke wangu, je kuna kitu hakikukufurahisha?

Mke
ndio mimi nahisi mikono ya Mama yako ni michafu jambo hilo limenitibua nafsi yangu mpaka nikapoteza hamu ya kula.

Mume
Je hilo tu ndio sababu iliokuondosha kwenye meza ya chakula au kuna mengine? haya isiwe tabu niambie tufanyeje Mke wangu kipenzi changu utakacho sema wewe nitatekeleza.

Mke
tumtengee sehemu yake ale peke yake kwani kuanzia leo sipo tayari kula na Mama yako meza moja.

Mume
hapana hapana usiseme hivyo kipenzi changu haya sawa kuanzia leo tutamtengea sehemu yake maalumu peke yake nakuahidi mke wangu. lakini inaonesha hata kuwepo kwa Mama yangu pia kunakudhoofisha sio mpenzi? Au tatizo ni hilo moja tu la kunuka kwa mikono ya Mama yangu?

Mke
haswaaa Mume wangu kiukweli kuwepo kwa huyo Bibi kizee ndani ya nyumba yetu kunaninyima raha kabisa.

Mume
lakini Mke wangu kama unavyo jua Mama yangu ni mkubwa kiumri na hana mtu wakumtegemea zaidi yangu mimi sasa nini rai yako?

Mke
ufumbuzi upo hapa cha kufanya nikumpeleka kwenye nyumba za wazee na huko ndiko makao yake tena atashughulikiwa vizuri sana ila kama hutofanya hivyo basi mimi nitaondoka na sitorudi tena kwako!!

Mume
wazo zuri sana mke wangu muhimu ni furaha yako usijali nitampeleka mamangu kwenye nyumba za wazee

Mke alifurahishwa na maneno ya Mumewe na Mume aliongea huku akimuonesha tabasamu mkewe. Mara Mume akapigiwa simu na Baba Mkwe wake hapo hapo akamuuliza Mkewe hivi Mke wangu unadhani kwa nini Baba yako amenipigia simu na amenitaka kesho wote humu ndani twende kwake?

Mke
ndio najua kwa sababu mimi nilimwambia baba kila kitu na akasema atakupigia simu.

Mume
kwa sababu gani mke wangu?

Mke
usijali kesho tukifika kwa baba utajua samahani niko hoi taabani naomba uniache nipumzike.

Mume
bila samahani mpenzi lala usingizi wenye afya.

Mume alitoka kwenye chumba chao na akaelekea chumbani kwa Mama yake.

Mama
mwanangu kwani mkeo ni mgonjwa maana ameondoka ghafla kwenye meza ya chakula hadi kashindwa kumaliza chakula chake?

Mtoto
naaam mama mke wangu ni mgonjwa hali yake sio nzuri sana.

Mama
aaah mbona umemuacha peke yake umekuja kwangu hebu harakisha umpeleke hospitali au ukamnunulie dawa mwanangu tambua kwamba sio vizuri Mkeo alale njaa wakati anaumwa.

mtoto
usijali Mama yangu Mkweo hayuko taabani sana acha ajipumzishe kiasi kisha akiamka nitamuandalia chakula ale.

Mama
Alhamdulillah kumbe hali yake sio mbaya sana Allah akuhifadhini enyi wanangu.

Mtoto
allahummah Aamiin
mama kesho nitakupeleka sehemu na kila kitu kitabadilika

Mama
wapi tena mwanangu

Mtoto
usijali mamangu kesho ikifika utajua tu ila nakuomba usibishe wala kunizuia kwa kile nitakacho kifanya.

Mama
aaah mwanangu mbona unanipa wasi wasi hivyo sawa sitobishana na wewe katika maamuzi yako sababu nafahamu kwamba wewe ni mtu mwenye hekima na busara.

kesho yake saa nne asubuhi Mume, Mke na Mama wa Mume wanaenda kwa ukweni kulipopigwa simu ili kuitikia wito. Mume alimchukua Mama yake baada ya mkewe kukataa katakata kuandamana naye kwao ila Mume alimjibu mkewe.

Mume
usiwe na wasiwasi mpenzi wangu acha twende naye kwenu baadae tutampeleka kule tulipo afikiana jana
(katika nyumba za wazee)

Mke
alikubaliana na maamuzi ya mumewe na wakaenda naye

walipofika ukweni walipokewa vizuri wakakaribishwa na wakaanza kuongea baina yao. Iliadhiniwa adhana ya sala ya Adhuhuri na wakasali kwa pamoja. na kwenye kusubiri maandalizi ya chakula cha mchana Baba mkwe akaanza kuongea na Mkwe wake chemba.

Baba mkwe
mkwe wangu kwa hakika nina jambo la muhimu sana lilo nifanya nikupigie simu uje kwangu. Basi acha nikueleze kama unavyo jua mimi nina mtoto mmoja tu na ni huyu mkeo yeye ndie roho yangu na kiukweli siwezi kumkatalia kitu chochote. Kiudhati mwanangu alinipigia simu akiwa katika hali ya kutofurahishwa na uwepo wa Mama yako hapo nyumbani na jambo hili ni haki yake kuchagua nani atakaye ishi naye hapo nyumbani. La sivyo binti yangu hatorudi tena kwako.

Mume
aaah kumbe simu zote wanamuongelea Mama yangu (alijisemea moyoni). Naaam baba mkwe mbona hili swala tushalitatua tayari Mimi na Mke wangu tumeamua kumpeleka Mama yangu katika nyumba za wazee punde tuu tunapo toka hapa.

Baba mkwe
ikiwa mshakubaliana natarajia kwamba tatizo lishapata ufumbuzi Alhamdulillah.

chakula kinaletwa mezani wakaja wanafamilia wote isipokuwa Mama wa Mume, Mke akamnongonezea mumewe sikioni Mama yako atakula kule store usiwe na wasi wasi juu yake sawa Habibi

Mume
Mke wangu wewe ndie uliye sema kwamba Mama yangu ale kule store?

Mke
naaam habibi nimesema ale huko kwani kuna tatizo?

mume aliiangalia familia ya Mkewe walivyo kaa katika meza ya chakula kisha akasema mimi siwezi kula pamoja na nyinyi je mwajua sababu? kwa sababu mikono yenu ni michafu kama zilivyo nafsi zenu.

wote walishitushwa na maneno yake kisha baba mkwe akasema ndio unaongea nini hivyo?

Mume
kwa nini moyo wako waugua kama vile volcano inataka kulipuka au ni kwa sababu ya maneno yangu?

Vilevile mimi pia jana niliugua sana uliposema kwamba mikono ya Mamangu inanuka. isitoshe ukapiga simu kwenu ili iwe mjadala juu ya kumuondosha mamangu kwenye nyumba yangu

Aliwaangalia Wakwe zake kisha akasema hivi ni sawa kweli nimpeleke Mama yangu kwenye nyumba za wazee kwa sababu binti yenu ameamua hivyo? je mtahisi vipi kama nyinyi pia mkifikia umri mkubwa kisha mkataka kufanyiwa hivi? nasikitika sana juu yenu familia mbaya sana msiokuwa hata na chembe cha imani.

mtoto alimuita Mama yake mwenye umri mkubwa alitoka maskini hata hajui chochote kinacho endealea alimshika Mama yake huku machozi yanamtoka akambusu mikono na kichwani kisha akainama na kubusu miguu ya Mama yake alafu akamwambia Mama yake, haya twende Mama yangu.

Mama
twende wapi tena wanangu?

Mtoto
twende peponi
Mtoto akaanza kulia nakusema nibebe Mama yangu unipeleke peponi kwa radhi zako anamkumbatia Mama yake na huku wanatoka.

kabla wafike mlangoni aliigeukia familia ya Mke wake na akawambia. Mimi naipenda pepo yangu (mama yake) na nitakuwa naye popote nilipo ili nifaulu hapa duniani na kesho khera nanyi bakini na dunia yenu (binti yao) akatoka na Mama yake wakarudi nyumbani.

Ewe mola wetu
tujaalie upendo imani na huruma ili tuwahurumie wazazi wetu kama wao walivyo tuhurumia tulipo kuwa wachanga

FB_IMG_1571542970317.jpeg
FB_IMG_1571542970317.jpeg
 
Hadithi zingine ni matokeo ya madhila ya kulelewa kwenye ndoa za mitala. Watu wanawaza mambo emotional tu saa zote. Mke mwenye uthubutu wa kumfanyia hivyo mamaako si ungeshaubaini ubaya wake kitambo tu kabla ya hili kutokea? Hiyo moja, mbili, kumpata BABA wa kushirikiana na bintiye kuwa na akili ndogo kiasi hiki nao ni mtihani.

Kwangu mimi, hadithi imefeli.
 
View attachment 1246894View attachment 1246894

stupid wife
 
"ndio mimi nahisi mikono ya Mama yako ni michafu jambo hilo limenitibua nafsi yangu mpaka nikapoteza hamu ya kula. " Mazungumzo yange gomea hapo, either vingeanza vibano vya saikolojia
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom