Msaada wa ushauri kwa ndugu yangu huyu

Lupamba's grandson

JF-Expert Member
Jan 9, 2015
1,232
1,192
Habarini tena waungwana. Poleni na majukumu ya siku nzima, ok niende moja kwa moja.

Samahanini kwakuwa ni ndefu kidogo kama ntawachosha.
Nina ndugu yangu ambaye ni mtoto wa baba mdogo, tunalingana kiumri, ana jambo ambalo liko mbele yake ,nimeona nililete hapa maana najua wako watu wameshapitia dhahama hii na wengine wameshawahi kuwashauri watu waliopitia jambo hili.

Ndugu yangu huyu alimpa bint mmoja ujauzito mwaka juzi, basi bint kaja kamwambia jamaa ,jamaa akukataa ,na jama alikuwa anaishi kwetu ,baada ya kuambiwa na bint hv alipambana akapata nyumba akawa anaishi peke yake nia nikuandaa mazingira kwamba bint kama atafukuzwa kwao apate pakufikia.

Basi bint ikaja kugundulika kwao mimba ikiwa na miezi mi nne, mama akamwambia muhusika ni nani ,bint akamtaja ,mama akamwambia mwite aje niongee nae, basi jamaa bila hiana nilimwambia nenda wala usiogope, kweli alienda kaonana na mama, mama akamwambia mwanangu najua limeshatokea ila sasa hili swala ni zito kwangu inabidi baba yake afahamu ,maana italeta shida kwangu, sasa cha kukushauri tafuta watu wazima waje waongee na baba yake na mwenzio,

jamaa kweli akatafuta wababa wawili na mm nikimsindikiza tukaenda ,kufika bwana tukakuta wajomba ,baba na mama ,wakawa wameandaa vyakula ,basi ,mjomba kaongea wakataka kumjua muhusika wakamjua, basi ,wakataka fine ,ikatutoka 50 elfu, baadae wakasema basi kijana anaruhusa ya kuja kumwona mtoto bint akijifungua ,ila tunahitaji muandike barua ya posa ,basi tukatoka nje tukamuuliza jamaa utamuoa binti uko baadae uko tayari tutoe na posa ?? Jamaa akakubali tukaandika barua tukaeka kwenye bahasha na kitambaa na 20 elfu.
Tukaondoka,
Bint kajifungua, jamaa akawa huru anaenda kwakina binti, maisha yakaenda mtoto alipofikisha miezi nane au 9 bint akaamia kwa jamaa wakawa wanaishi ,mtoto kafikisha mwaka ,bint siku iyo kaja na barua ,jamaa kufungua anakuta imeorodheshwa mahari, ,jamaa mpka hapo wanaishi pamoja ,basi baada ya kimya kingi baba wa bint akaanza kuwa mkali mbona hao watu hawaji, mpka akawa anamgombeza mama wa bnt ,mama nae anamwambia bnt yake mwambie mwenzio mbona kimya, basi jamaa akajitahidi akafanikisha pesa kiasi ,mahari ikapelekwa, ndugu wa bint wa pande zote walikuwepo.

Baada ya hapo wakataka tarehe ya harusi. Ndugu wa mume tukasema tutawajulisha ,basi siku zikaenda jmaa nyumbani aliulizwa vipi unataka iwe lini akasema mwezi wa kumi na moja ,ila mm alinidokeza kitu akaniambia bana mimi ndoa sasa hv sitaweza kwanza maana shem wako anakatabia ameeanza ,siku mbili hzi anarudi sa nane usiku amelewa, na pombe aliachaga nilimkataza na kweli aliacha nashangaa meanza, kuna compan sio nzuri nahisi yupo nayo ,na kumbuka uyu ndugu yangu muda mwingine kazi zake ni kusafiri siku mbili anarudi ila sio mara kwa mara.

Baada yakuniambia hvyo nikamshauri usiharakishe we kaa kimya kwanza uone, baada ya kama wiki akakuta sms jamaa kamtumia huyo bint za mapenzi, jamaa kamuuliza bint akakana kuwa hamna mahusiano ila baadae baada ya jamaa kumbana kwamaelezo yake bint alikubali akaomba msamaha jamaa akampigia simu jamaa yakaisha .

wakaendelea kuishi, sasa mwezi wa nne bint alianza kurudi sa sita usiku ananukia pombe japo ajalewa kwa mujibu wa jamaa ,akakuta jamaa kashatoka job kafunga mlango na bint nae anaofc yake na huwa anafungaga sa mbili au sa moja ,na kumbuka mtoto alipelekwa kwa bibi anakaa na bibi. Basi kesi ikaenda kwa wazazi wa bint. Akasemwa pale ikaisha jpo baba akasema nilitaka arudi nyumbani hapa mpka mtakapo kuja kumchukua rasmi ,na amenidhalilisha sana ,basi bint akaomba msamaha ,haikupita wiki akarudi usiku tena na alikuwa akipigiwa simu hapokei. Baada ya hapo ,alirudi usiku tena akaulizwa na jamaa akasema alikuwa ameenda kwa wifi ake alimpeleka kukabishiwa bishara ya nguo na rafiki yake anasafiri ,ilileta ukakasi ,malumbano usiku uo baada ya jamaa kuniita nikayakuta nasikia yaliendelea mpka asubuhi maana niliamua kuondoka zangu baada yakuongea kuwapatanisha nikachoka.

Sasa Tatizo lilianzia hapa.
Bint asubuhi aligombana na jamaa baada ya jamaa kuzuia ile simu yake, bint akachukua simu ya jamaa akakimbia mpka kwao akaenda kusema kafukuzwa ,jamaa akapiga cm kumwambia mama ukweli ,mama akasema atamwambia baba. Baada ya siku mbili bint akiwa karudi kwao jamaa aliniomba msaada (kudukua whatsap ya binti) nikamsaidia kwakweli alichokiona huko ni chating na voice za yule jamaa aliyesema ni rafiki yake kamwachia biashara kasafiri wameanza mahusiano na hata siku aliporudi uaiku mara ya mwisho walikuwa wote kwenye pombe.

Msaada wa ushauri unakuja hapa ,mpka sasa miezi mi nne bint yupo kashatoka kwao kapangisha kwake, na mzazi wa kike naajua kila kitu kuhus bint ,ila baba anajua bint karudi kwa mme wake, na jamaa amembembeleza bint arudi waanze upya wamlee mtoto wao bint hataki ,mara aseme ntarudi, ila nikirudi baba kasema niake miezi mi nne kama ndoa hamna nirudi nyumbani, sasa jamaa kafika mwisho anasema anaachana nae japo anamwonea huruma mwanae ila hana namna anaamua ku move one.

Na ukiangalia jamaa stil anampenda bado bint ila ndio hvyo bint kakutana na mashost waki rangi wamemfunda na kumtafutia .sasa mm nimemshauri aachane na huyo mtu, ila swali linakuja je aende kwa wazazi akamwambie baba mkwe kwamba ajue mwanae hayupo kwake amapenga?? Ili isije tokea la kutokea wakajua bint yupo kwa jamaaa ,ila mama anaelewa.
Ushauri wenu ,smahanini kwakuwachosha.

Note: nimejifunza kwa hili kuwa sio single mother wote wanaachika wengine wanajiachisha wenyewe wanayapenda maisha yakuishi hivyo japo sio wote. Sasa kama huyu jamaa anamalengo ila mwanamke emptless,
 
Yani upuuzi huo wote bado mwanaume unataka ushauri gani tena?! Wanaume wa mikoani hebu changamkeni kidogo basi kwny mambo ya wanawake...kwangu mwanamke hawezi kurudi saa 6 hata siku moja tena hata hujui alipo. Mwanamke anatakiwa awe nyumbani kabla ya mumewe
 
Nilichomshauri ni icho ila still jamaa anakuwa mzito ku move on
 
Huyo mwenzio kampenda sana mwanamke anajaribu kumuacha lakin hawezi,nahisi nikumpigia mbuzi gitaa kwa hayo yote bado anakomaa
 
Habarini tena waungwana. Poleni na majukumu ya siku nzima, ok niende moja kwa moja.
Samahanini kwakuwa ni ndefu kidogo kama ntawachosha..
Nina ndugu yangu ambaye ni mtoto wa baba mdogo, tunalingana kiumri, ana jambo ambalo liko mbele yake ,nimeona nililete hapa maana najua wako watu wameshapitia dhahama hii na wengine wameshawahi kuwashauri watu waliopitia jambo hili.

Ndugu yangu huyu alimpa bint mmoja ujauzito mwaka juzi, basi bint kaja kamwambia jamaa ,jamaa akukataa ,na jama alikuwa anaishi kwetu ,baada ya kuambiwa na bint hv alipambana akapata nyumba akawa anaishi peke yake nia nikuandaa mazingira kwamba bint kama atafukuzwa kwao apate pakufikia,
Basi bint ikaja kugundulika kwao mimba ikiwa na miezi mi nne, mama akamwambia muhusika ni nani ,bint akamtaja ,mama akamwambia mwite aje niongee nae, basi jamaa bila hiana nilimwambia nenda wala usiogope, kweli alienda kaonana na mama, mama akamwambia mwanangu najua limeshatokea ila sasa hili swala ni zito kwangu inabidi baba yake afahamu ,maana italeta shida kwangu, sasa cha kukushauri tafuta watu wazima waje waongee na baba yake na mwenzio,

jamaa kweli akatafuta wababa wawili na mm nikimsindikiza tukaenda ,kufika bwana tukakuta wajomba ,baba na mama ,wakawa wameandaa vyakula ,basi ,mjomba kaongea wakataka kumjua muhusika wakamjua, basi ,wakataka fine ,ikatutoka 50 elfu, baadae wakasema basi kijana anaruhusa ya kuja kumwona mtoto bint akijifungua ,ila tunahitaji muandike barua ya posa ,basi tukatoka nje tukamuuliza jamaa utamuoa binti uko baadae uko tayari tutoe na posa ?? Jamaa akakubali tukaandika barua tukaeka kwenye bahasha na kitambaa na 20 elfu.
Tukaondoka,
Bint kajifungua, jamaa akawa huru anaenda kwakina binti, maisha yakaenda mtoto alipofikisha miezi nane au 9 bint akaamia kwa jamaa wakawa wanaishi ,mtoto kafikisha mwaka ,bint siku iyo kaja na barua ,jamaa kufungua anakuta imeorodheshwa mahari, ,jamaa mpka hapo wanaishi pamoja ,basi baada ya kimya kingi baba wa bint akaanza kuwa mkali mbona hao watu hawaji, mpka akawa anamgombeza mama wa bnt ,mama nae anamwambia bnt yake mwambie mwenzio mbona kimya, basi jamaa akajitahidi akafanikisha pesa kiasi ,mahari ikapelekwa, ndugu wa bint wa pande zote walikuwepo.
Baada ya hapo wakataka tarehe ya harusi. Ndugu wa mume tukasema tutawajulisha ,basi siku zikaenda jmaa nyumbani aliulizwa vipi unataka iwe lini akasema mwezi wa kumi na moja ,ila mm alinidokeza kitu akaniambia bana mimi ndoa sasa hv sitaweza kwanza maana shem wako anakatabia ameeanza ,siku mbili hzi anarudi sa nane usiku amelewa, na pombe aliachaga nilimkataza na kweli aliacha nashangaa meanza, kuna compan sio nzuri nahisi yupo nayo ,na kumbuka uyu ndugu yangu muda mwingine kazi zake ni kusafiri siku mbili anarudi ila sio mara kwa mara.
Baada yakuniambia hvyo nikamshauri usiharakishe we kaa kimya kwanza uone, baada ya kama wiki akakuta sms jamaa kamtumia huyo bint za mapenzi, jamaa kamuuliza bint akakana kuwa hamna mahusiano ila baadae baada ya jamaa kumbana kwamaelezo yake bint alikubali akaomba msamaha jamaa akampigia simu jamaa yakaisha .
wakaendelea kuishi, sasa mwezi wa nne bint alianza kurudi sa sita usiku ananukia pombe japo ajalewa kwa mujibu wa jamaa ,akakuta jamaa kashatoka job kafunga mlango na bint nae anaofc yake na huwa anafungaga sa mbili au sa moja ,na kumbuka mtoto alipelekwa kwa bibi anakaa na bibi. Basi kesi ikaenda kwa wazazi wa bint. Akasemwa pale ikaisha jpo baba akasema nilitaka arudi nyumbani hapa mpka mtakapo kuja kumchukua rasmi ,na amenidhalilisha sana ,basi bint akaomba msamaha ,haikupita wiki akarudi usiku tena na alikuwa akipigiwa simu hapokei. Baada ya hapo ,alirudi usiku tena akaulizwa na jamaa akasema alikuwa ameenda kwa wifi ake alimpeleka kukabishiwa bishara ya nguo na rafiki yake anasafiri ,ilileta ukakasi ,malumbano usiku uo baada ya jamaa kuniita nikayakuta nasikia yaliendelea mpka asubuhi maana niliamua kuondoka zangu baada yakuongea kuwapatanisha nikachoka.

Sasa Tatizo lilianzia hapa.
Bint asubuhi aligombana na jamaa baada ya jamaa kuzuia ile simu yake, bint akachukua simu ya jamaa akakimbia mpka kwao akaenda kusema kafukuzwa ,jamaa akapiga cm kumwambia mama ukweli ,mama akasema atamwambia baba. Baada ya siku mbili bint akiwa karudi kwao jamaa aliniomba msaada (kudukua whatsap ya binti) nikamsaidia kwakweli alichokiona huko ni chating na voice za yule jamaa aliyesema ni rafiki yake kamwachia biashara kasafiri wameanza mahusiano na hata siku aliporudi uaiku mara ya mwisho walikuwa wote kwenye pombe..
Msaada wa ushauri unakuja hapa ,mpka sasa miezi mi nne bint yupo kashatoka kwao kapangisha kwake, na mzazi wa kike naajua kila kitu kuhus bint ,ila baba anajua bint karudi kwa mme wake, na jamaa amembembeleza bint arudi waanze upya wamlee mtoto wao bint hataki ,mara aseme ntarudi, ila nikirudi baba kasema niake miezi mi nne kama ndoa hamna nirudi nyumbani, sasa jamaa kafika mwisho anasema anaachana nae japo anamwonea huruma mwanae ila hana namna anaamua ku move one.

Na ukiangalia jamaa stil anampenda bado bint ila ndio hvyo bint kakutana na mashost waki rangi wamemfunda na kumtafutia .sasa mm nimemshauri aachane na huyo mtu, ila swali linakuja je aende kwa wazazi akamwambie baba mkwe kwamba ajue mwanae hayupo kwake amapenga?? Ili isije tokea la kutokea wakajua bint yupo kwa jamaaa ,ila mama anaelewa.
Ushauri wenu ,smahanini kwakuwachosha.

Note: nimejifunza kwa hili kuwa sio single mother wote wanaachika wengine wanajiachisha wenyewe wanayapenda maisha yakuishi hivyo japo sio wote. Sasa kama huyu jamaa anamalengo ila mwanamke emptless,
Mwambie Hana akili haya mambo sio ya kuomba ushauri. Kwani mtoto saizi anaishi wapi. Ivi siku hizi wanaume wanazidi Kuwa waovyo Ivo. Mwanamke mlevi kama huyo wa nini. Mwanamke hatakiwi kunywa kabisa. Watu wanampa offer wanakula mambo.
 
Hapo aachane tu naye maana atateseka sana kwa kuwa naona mwanamke amejipanga sana kwa kumuumiza jamaa,na kingne asilazimishe upendo kwa mwanamke ambaye anaonekana kuwa ni mjinga na kuhusu wazazi awambia kila kitu km ulinz kwake.
 
Huyo mwenzio kampenda sana mwanamke anajaribu kumuacha lakin hawezi,nahisi nikumpigia mbuzi gitaa kwa hayo yote bado anakomaa
Ninavyo muona ila ameanza ku date na mdada mwingine mzuri kuliko yule ila nashangaa kwann bado moyo upo nyuma, japo madai anasema apendi mtoto wake ateseke
 
Mwambie Hana akili haya mambo sio ya kuomba ushauri. Kwani mtoto saizi anaishi wapi. Ivi siku hizi wanaume wanazidi Kuwa waovyo Ivo. Mwanamke mlevi kama huyo wa nini. Mwanamke hatakiwi kunywa kabisa. Watu wanampa offer wanakula mambo.
Mtoto yuko kwa bibi wa mama
 
Yaani ni death penalt mwanamke kurudi kwangu ucku. Ni ukosefu wa adab.
Ningekuwa huyo mchinzi.. ningewajulisha wazazi, namchukua mwanangu.
Huyo binti aendelee kula starehe tu.. ila asje akarud kumuulizia mtoto.
Inaonekana binti ujana unsumbua hajatulia
Yani upuuzi huo wote bado mwanaume unataka ushauri gani tena?! Wanaume wa mikoani hebu changamkeni kidogo basi kwny mambo ya wanawake...kwangu mwanamke hawezi kurudi saa 6 hata siku moja tena hata hujui alipo. Mwanamke anatakiwa awe nyumbani kabla ya mumewe
 
Ninavyo muona ila ameanza ku date na mdada mwingine mzuri kuliko yule ila nashangaa kwann bado moyo upo nyuma, japo madai anasema apendi mtoto wake ateseke
Huyo mwenzako huyo mwanamke wake akirudi muda wwte yuko radhi kumsamehe haijalishi ana mdada mwengne,huyo mdada mpya yupo nae kwa ajili ya kupunguza stresses
 
Back
Top Bottom