Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,628
- 32,117
Hili nmeona nilizungumze baada ya jamaa mmoja kulizungumza kwa uchungu mkubwa sana. Naandika kama alivyoliwasilisha kwangu na katika moja ya comments zake humu JF.
"Kusema ukweli moja ya watu ambao wamekuwa kikwazo sana kwangu ni watu wa jumuiya. Hawa wanatabia za kipuuzi kabisa za kuamka kwao asubuhi na mapema kwenda nyumba za watu eti kufanya maombi".
Hii imekuwa inatupa changamoto sana sisi ambao tunakuwa Ijumaa tumeleta mizigo.inakuwa shida unakuta wanajumuiya wapo nje wanafanya maombi na kuimba halafu wewe zigo lipo ndani linataka kuwahi kuondoka. Hii kero nimeona niiseme sababu inatupa wakati mgumu sana sisi wazee wa kuvusha.
Haya malalamiko mhusika aliandika kwa uchungu sana. Nikawaza jinsi shetani anavyokuwa na akili zake Sasa naomba wanajumuiya hao wawe wanashinda hapo hadi Jumapili kabisa waendeleze ibada hapo hapo ili wachepukaji waache hizo tabia.