Daah huyu mdada mpaka sahivi sijamwelewa, like nlikutana nae nikachukua namba. Fresh nikaanza kumtongoza akaonekana kunikubalia, like kila saa alikuwa anani-text kwa siku 4 mfululizo. Siku ya 5 ilipofika mdada akaniambia ana shida ya Tshs elfu 10, mmh nikaguna kimoyomoyo nikaona hapa sina mwanamke. Nikamuuliza mdada kama ananipenda kweli, akasema ananipenda lakini mimi nikamwambia kuwa nahisi hajavutiwa na mimi ndiyo maana ananipiga kizinga, but alikana huku akidai ananipenda..
Nikampa sharti rahisi tu, kwamba akija ghetto siku ya Jumapili, nitampa hela zaidi ya hiyo elfu 10 aliyoiomba, demu akasema anataka hela siku hiyohiyo. Nlipokataa basi ndiyo mpaka leo hajanitafuta tena, na mimi sijamtafuta na sitokaa nimtafute tena. Mbwembwe zote za yeye kuni-text ziliisha baada ya mimi kukataa kumpa elfu 10 kwenye siku aliyoitaka.
Mdada mwingine hivyohivyo, nilimkimbia baada ya kuniomba Tsh elfu 1000
Kama mwendo ni huu bora kununua malaya tu, maana sikuhizi mapenzi yamekuwa biashara.