Kwa wenye imani inayoruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja

Superb2014

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
8,444
6,480
Poleni na majukumu wana JF!

Naombeni msaada wa ushauri.

Iko hivi, mimi ni mwanamke ni mkristo ninafanya kazi katika kampuni moja. Kuna mwanaume mmoja ambaye ni mume wa mtu imani yake inaruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja.

Tulikuwa tunafanya kazi katika kampuni moja baadaye aliacha kazi katika kampuni tuliyokuwa tunafanya kazi wote na kupata kazi katika kampuni nyingine.

Miezi michache baada ya kuacha kazi alinipigia simu tukasalimiana vizuri.

Baada ya kusalimiana akaniambia kuwa amenipigia simu kwa lengo kuwa alitokea kunipenda sana sana kipindi tukiwa tunafanya kazi pamoja, lakini alishindwa kunieleza kutokana na mazingira ya kazi hivyo basi kwa vile hatuko pamoja kikazi anamshukuru Mungu anaomba niwe mpenzi wake.

Ni miezi minne sasa ananiambia ananipenda sana, mara nyingi huwa ananiambia imani yake inamruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja.

Siijui kesho yangu, huenda nikawa mke wake wa pili. Pia anasisitiza kuwa yuko tayari kupima afya kabla ya kufanya chochote.

Swali langu ni hili: Je nitakuwa sahihi kuwa na mahusiano na huyu mwanaume?

Naombeni msaada wa ushauri kwa watu wa imani zote.

Nawakilisha kwa niaba ya rafiki yangu.
 
Hadi umekuja kuomba ushauri huku inaonesha uko interested na hiyo ndoa

Kimsingi utayari wa nani wa kuolewa nae unaanzia kwa muolewaji....kama unaona uko tayari kuwa mke wa pili ni sawa,maoni ya sisi wa nje sio muhimu sana

Cha msingi ni kujipanga kupokea mke mwenza wa tatu na wa nne
 
Anataka kukuoa au anataka kukufanya side chick akupotezee muda wako? Huyo mwanaume ni mzanzibari? Hao ndo wana tabia ya ufuska anataka muzini huku akidai dini inaruhusu yeye kua na mwanamke zaidi ya mmoja.
 
Siyo Uislam tu unaoruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja, zipo hata medhehebu za kikristo zinazoruhusu hivyo. Kama nimekuelewa sawasawa huyo bwana hajataja kutaka kukuoa (kasema tu imani yake inaruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja) bali anataka uwe mpenzi wake tu, kwa kuanzia, wewe ukristo wako unaruhusu kufanywa mpenzi tu (part time)?
 
Yajayo yanafurahisha, sijui kama yuko tayari.
Hadi umekuja kuomba ushauri huku inaonesha uko interested na hiyo ndoa

Kimsingi utayari wa nani wa kuolewa nae unaanzia kwa muolewaji....kama unaona uko tayari kuwa mke wa pili ni sawa,maoni ya sisi wa nje sio muhimu sana

Cha msingi ni kujipanga kupokea mke mwenza wa tatu na wa nne
 
Wewe dini yako inasemaje kuhusu hilo, lakini?
Poleni na majukumu wana JF!

Naombeni msaada wa ushauri.

Iko hivi, mimi ni mwanamke ni mkristo ninafanya kazi katika kampuni moja. Kuna mwanaume mmoja ambaye ni mume wa mtu imani yake inaruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja.

Tulikuwa tunafanya kazi katika kampuni moja baadaye aliacha kazi katika kampuni tuliyokuwa tunafanya kazi wote na kupata kazi katika kampuni nyingine.

Miezi michache baada ya kuacha kazi alinipigia simu tukasalimiana vizuri.

Baada ya kusalimiana akaniambia kuwa amenipigia simu kwa lengo kuwa alitokea kunipenda sana sana kipindi tukiwa tunafanya kazi pamoja, lakini alishindwa kunieleza kutokana na mazingira ya kazi hivyo basi kwa vile hatuko pamoja kikazi anamshukuru Mungu anaomba niwe mpenzi wake.

Ni miezi minne sasa ananiambia ananipenda sana, mara nyingi huwa ananiambia imani yake inamruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja.

Siijui kesho yangu, huenda nikawa mke wake wa pili. Pia anasisitiza kuwa yuko tayari kupima afya kabla ya kufanya chochote.

Swali langu ni hili: Je nitakuwa sahihi kuwa na mahusiano na huyu mwanaume?

Naombeni msaada wa ushauri kwa watu wa imani zote.

Nawakilisha kwa niaba ya rafiki yangu.
 
Anataka kukuoa au anataka kukufanya side chick akupotezee muda wako? Huyo mwanaume ni mzanzibari? Hao ndo wana tabia ya ufuska anataka muzini huku akidai dini inaruhusu yeye kua na mwanamke zaidi ya mmoja.

Hapana Mwanaume siyo Mzanzibar.
 
Poleni na majukumu wana JF!

Naombeni msaada wa ushauri.

Iko hivi, mimi ni mwanamke ni mkristo ninafanya kazi katika kampuni moja. Kuna mwanaume mmoja ambaye ni mume wa mtu imani yake inaruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja.

Tulikuwa tunafanya kazi katika kampuni moja baadaye aliacha kazi katika kampuni tuliyokuwa tunafanya kazi wote na kupata kazi katika kampuni nyingine.

Miezi michache baada ya kuacha kazi alinipigia simu tukasalimiana vizuri.

Baada ya kusalimiana akaniambia kuwa amenipigia simu kwa lengo kuwa alitokea kunipenda sana sana kipindi tukiwa tunafanya kazi pamoja, lakini alishindwa kunieleza kutokana na mazingira ya kazi hivyo basi kwa vile hatuko pamoja kikazi anamshukuru Mungu anaomba niwe mpenzi wake.

Ni miezi minne sasa ananiambia ananipenda sana, mara nyingi huwa ananiambia imani yake inamruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja.

Siijui kesho yangu, huenda nikawa mke wake wa pili. Pia anasisitiza kuwa yuko tayari kupima afya kabla ya kufanya chochote.

Swali langu ni hili: Je nitakuwa sahihi kuwa na mahusiano na huyu mwanaume?

Naombeni msaada wa ushauri kwa watu wa imani zote.

Nawakilisha kwa niaba ya rafiki yangu.
Jibu ni moja tu, kama yupo tayar kukuoa sidhan kama ipo haja ya kupoteza Muda
 
Hadi umekuja kuomba ushauri huku inaonesha uko interested na hiyo ndoa

Kimsingi utayari wa nani wa kuolewa nae unaanzia kwa muolewaji....kama unaona uko tayari kuwa mke wa pili ni sawa,maoni ya sisi wa nje sio muhimu sana

Cha msingi ni kujipanga kupokea mke mwenza wa tatu na wa nne

Asante kwa ushauri.
 
Dada pole kwa yanayokusonga. Nimekupa pole kwa sababu unakonyezwa na shetani na wewe unaitikia wito. Ishu sio kuolewa tu bali matatizo unayoenda kukumbana nayo. Kabla ya kuwaza kuolewa kwanza waza kama ungekuwa wewe mkewe ungelipokeaje kwa mumeo kuoa mke wa pili? Kama kweli we unaingiaga kanisani huko ni kumtukana Kristo hadharani. Sijajua ni dhehebu gani ila kama unasali kwenye kasani linasoma biblia Kitabu cha 1Koritho Paulo anasema ila kwa sababu ya zinaa kila mme na awe na mke wake sio wake zake. Kadharika kila mke awe na mme wake mwenyewe. Natamani kuandika mengi sana ila najua yanaweza yasikusaidie kama umeshaitikia wito wa shetan.
Nimalizie kwa kukumbusha madhara ya uke wenza
1. Ni dhambi kwakuwa unaenda kumchokoza mwanamke mwenzio katika ndoa yake. Atakosa amani, furaha na upendo kwa mumewe utashuka kama sio kuisha kabisa. Hebu waza ungekuwa ni wewe unatendewa hivo ungejisikiaje
2. Jiandae kuwa mshirikina. Kama ulikuwa huwajui waganga wa kienyeji na wachawi jindae kuwa na urafiki nao. Mwenzio atakapogoma kulipokea la uke wenza mtaanza kurogana, ndio maana nakwambia unaitwa kuwa mtumishi wa shetani 100%
3. Kukosa amani na kuwa mtumwa wa mapenzi. Mwanamke wa namna yako hudhauriwa kama choo cha nje. Mtu anajenga nyumba naweka chop ndani kisha anajenga cha nje ambacho kinaweza kukaa hata WK au mwezi bila kutumika au kusafishwa.
4. Kupata magonjwa ni zaidi ya 90% kwa sababu mnatengeneza chain ya zinaa ambayo mmoja wenu akiungua chain yoteiimeungua. Hv kwa akili yako unadhani utaishi na huyo peke yake au unadhani mkewe baada ya kujua atafurahia kukaa tu Siku kadhaa kumsubiri huyo mwanaume atoke kwako? Ni lazima atalipiza kisasi kwa kutafuta mtu wa nje hata kama hakuwa na mpango. Kwahiyo kupima kwenu kabla ya kuanza kuzini sio sababu ya kukufanya uwe salama. Huo ndo utakuwa mwanzo wa kujitoa kafara.
ILA NAKUULIZA HIVI NI KWELI UMEKOSA MME WAKO PEKE YAKO AU UNASHIDA BINAFSI? HADI UKAWE MKE WA AKIBA KWANI HUYO MWANAUME AMEKUONAJE? AMEKUONA HUNA PA KWENDA HADI ANAONA AKUHIFADHI. HIYO NI FEDHEHA KUBWA. MUNGU WA MBINGUNI AKUSAIDIE SANA TENA SANA NINGELIJUA JINA LAKO HALISI NINGELIWEKA KWENYE MAOMBI YANGU YA WIKI HII. BINAFSI NIMEUMIA SIPATI PICHA MOYO KRISTO UNAUMIAJE.
 
Back
Top Bottom