Huu mchezo hauhitaji hasira

Huu mchezo hauhitaji hasira

yuzazifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
5,108
Reaction score
9,469
Walio serious kutafuta ndoa/wenza sahihi wanakutana na magumegume but players ndiyo wanapata watu sahihi na kuishia kuwaumiza bure.

Wakuu, kifanyike nini ili mambo yaende sawia kila mtu akutane na wa kufanana nae?
 
Back
Top Bottom