Astakafullahi.......!Wewe nadhani unatoka usukumani
Si eti?
Hhahahhh asa yeye wakusoma anahonga nini jamanimy ribs
Itakuwa ni past papers lolWewe wakusoma unahonga nini sasa?daftari?pen?
Mbona unatuzibia riziki[emoji17]Ndio maana bado unaishi kwenu mkuu.Subiri upange ujue maana halisi ya maisha utajutia sana pesa hizo unazohonga sasa hivi
Hhahahhh asa yeye wakusoma anahonga nini jamani
Alafu kweli...hahahhhItakuwa ni past papers lol
Hahahaa,ulijuaje? Ndo niko njiani kufika pm[emoji12]Anyway subiri wanakuja pm sasa hivi maana hili tangazo lako limejitosheleza
Watakufilisi,shauri yakoHahaha Ni jaribu uone..navyohonga..