Kuna Mapenzi hapa!?

Kuna Mapenzi hapa!?

th3think3r

Member
Joined
Mar 24, 2013
Posts
97
Reaction score
37
Habari wanabodi.

Kwa muda nimekuwa msomaji tu wa posts katika majukwaa mbalimbali humu ndani. Leo nimeona nami niwasilishe mada ama dukuduku langu yamkini naweza pata mtu au watu wa kunishauri humu.

Nipo katika mahusiano ya muda mrefu na msichana mmoja. Mahusiano yetu yameanza muda tokea tunasoma mpaka sasa kila mmoja anajitegemea na anafanya kazi. Naomba nikubali kuwa mwenzangu aliwahi pata kazi wakati mimi bado nipo chuo. Hali hiyo ambayo kwa namna moja ama nyingine ilileta shida katika mahusiano, maana mwenzangu alibadilika kidogo na nikaanzanona rangi zake halisia. Ingawa kwa kipindi chote kabla ya yeye kupata kazi niliweza kuwa msaada kwake.

Baada ya kumaliza chuo, sikukaa mtaani. Maana niliweza pata kazi yangu ya kwanza kama "intern" kwenye kampuni moja ambayo nilikaa nayo kwa muda wa miezi mitatu. Nilibahatika kuwa nalipwa kidogo hivyo nikawa najisogeza kimaisha mimi na kwa kiasi kidogo sana kwa mpenzi wangu. Ingawa tofauti ya kipato ilikuwa ni kubwa. Na hata majivuno kwa mbali yalikuwa yanaonekana.

Baada ya kutoka kwa kampuni hiyo nikabahatika kupata ajira kwa kampuni binafsi. Kampuni hiyo ilininyanyua kidogo maana hata kipato kikaongezeka na mbali na yote waliweza nipatia nyumba ya kuishi pembezoni mwa bahari ya hindi. Kwa mwenzangu heshima ikaanza kurudi. Hapa naomba niseme kitu. Kuna kitu watu wanasema kuwa mwanamke alimvumilia sana jamaa akiwa katika hali ngumu lakini jamaa ametusua anamuacha. Ila watu wanasahau kuuliza chanzo. Utakuta mwanaume alikuwa anavumilia mambo mengi sana kwa huyo mwanamke ila anapoona inatosha na kuondoka then yanatokea mengine.

Tuachane na hayo. Binafsi nampenda na nitazidi mpenda sana mwenzangu. Na katika kipindi cha maisha yetu ya sasa nimekuwa namkosea ila nimekuwa mkweli n kuungama katika mambo mengi ambayo yanatokea ama nikiwa nimekosea au hata kukiwa na hali haieleweki ili mradi tu mazingira yawe sawa. Sitaki kuwa mbinafsi ila kwa ukweli ni kuwa hata yeye ananipenda na nimekuwa mwanaume wake wa kwanza na familia zetu mpaka sasa wanasubiria sisi tu ili tutangaze nia.

SHIDA: tokea nimepata kazi ya awamu ya pili mpenzi wangu amekuwa haridhiki na kipato nachoingiza. Japo kuwa ni zaidi ya mara tatu nilichokuwa naingiza awali..ila bado yeye alikuwa amenizidi kwa kiasi kidogo. Mbaya zaidi amekuwa ananifananisha na wapenzi wa rafiki zake. Anataka nifikie katika mafanikio ya hao akisahau kuwa nina miezi michache tu tokea nimemaliza chuo. Utakuta anahali flani ambayp hairidhishi na amekuwa mbishi.. yaani hafanyi kitu mpaka kwanza mlumbane.. na mgumu kushaurika na inachukua muda mpaka kufanyika jambo. Kwa mfano alikuwa anatoa sababu ya umbali wa yeye kuishi na mimi pamoja na hata anasema sio sawa kimaadili kabla ya kufunga ndoa ama uchumba tuishi pamoja. Sababu ya pili niliona ina mantiki ila ya umbali niliipinga ukizingatia mwenzangu nae alikuwa amepanga anaishi na rafiki yake.

Hali ambayo ilikuwa inanipa wasiwasi. Na hali ikawa mbaya zaidi baada ya yeye kuchukua mkopo na kununua gari. Nilifurahi kwa yeye kupata usafiri ila sikupenda response zake kwa mambo mengi. Sio mchoyo na mbinafsi huwa ananipa mara moja moja natumia gari yake. Lakini bado hali ya yeye kuishi na mimi ilikuwa ni shida. Kuna muda akawa yupo mbali anasema ni ubusy wa kazi na mambo mengi.

Nikawa mpweke, nikasema bora nimalize huu uhusiano tu maana furaha ilikuwa inapotea. Kwa kipindi chote mwenzangu alijiaminisha siwezi pata msichana mwingine. Kwa kweli mwenzangu ni mrembo hasa, ila haikutosha kwa mimi kutazama pembeni. Nikabahatika pata mrembo ambaye anafanya kazi kama afisa masoko katika kampuni kubwa ya kuzalisha na kusambaza vinywaji. Alikuwa mrembo na anaejielewa. Alikuwa anayumia usafiri wa umma lakini hakuona tabu kuja na kuishi na mimi huku kwangu 'mbali' na alikuwa anakuja katikati ya week mpaka week inayofuatia.

KITU KIBAYA KIKATOKEA.
Siku moja Dar ilipatwa na mvua kubwa sana na umeme ukakatika. Sikuweza wasiliana na mwenzangu mpya kwa muda, na huyu mwenzangu wa zamani nilipanga kumtaarifu juu ya hili jambo akawa amekujaa. Basi bhana magari yakagongana. Mwisho wa siku niliamua kusitisha uhusiano mpya. Baada ya maongezi ya muda mrefu na mwenzagu.. tukakubaliana kuanza upya.

SHIDA YA PILI

baada ya kufanya kwa miezi nane kwa kampuni hii nikabaatika kupata kazi sehemu nyingine. Wao sasa walinilipa mara mbili zaidi ya wale wa awali kuanzia mshahara marupurupu . Hapa nikawa nimemzidi mpenzi wangu sasa. Heshima ikaongezeka mara dufu hasa baada ya kuanza kuchange mambo mambo. Akawa anapaona sio mbali tena. Na jambo ambalo kwangu lilikuwa bora zaidi, nikapangiwa kazi mkoani. Nje na Dar nikakabidhiwa kitengo. Safari zangu zikawa zinaratibiwa kwa ndege sasa. Shida ni kuwa siwezi kuwa nae mbali. Nimekaa nikimshauri na kuona njia bora maana sitoweza kufanya kazi mbali na mtu ambae nimemuoa. Nawaza hapa, maana mwenzangu haoni maisha nje ya Dar. Na hataki kuja kuishi na mimi. Binafsi napata shida kwa nini inakuwa hivi.

Wanajukwaa naomba mnipe ushauri na mnisaidie kujua hapa kuna mapenzi au mimi nimekuwa tu mbinafsi na kufikiria kwa upande wangu?

Nawasilisha.
 
naweza kusema pole na hongera but,, naweza sema tena huyo girl ni ujana wako,, pia kwa baadhi ya vijimambo ulivyo visema hapo,, naweza kuambia 2liza akili yako tafuta wife material atakaye kufaa maisha niya wawili , ushauri, kutiana moyo kwa kila jambo au hatua unayo piga,, na mapenzi yakweli,, kama unaona ana kufaa basi komaaa naye,, ila binafsi sikushauri ,, fikiria hata kama umetoka naye mbali ,,, BAADA YA NDOA KUNA MAISHA,,, maisha ni furaha, kwenye furaha hapakosi amani na upendo wa dhati ndani yake,, na mashaurianao lazima mtapiga hatua na hata mkijaliwa kuwa na family mtaaishi kwa amani na malezi bora ya familia yako,, tafuta mpenzi / mchumba/ wife material nasiyo bora mwanamke tu.
 
Wanawake karibia wote ndivyo walivyo kwenye suala la kutaka ufanane na mafanikio yaliyopo kichwani mwake.

maana wakikutana na rafiki zake wanajilinganisha kuanzia uvaaji hadi wanaume walionao na akiwa na kabwana alikokazidi huwa wanapata shida saana.

Nikuwazoea tu na muda mwingine tumia ubabe kulazimisha maamuzi yako ndiyo yafanye kazi.
 
naweza kusema pole na hongera but,, naweza sema tena huyo girl ni ujana wako,, pia kwa baadhi ya vijimambo ulivyo visema hapo,, naweza kuambia 2liza akili yako tafuta wife material atakaye kufaa maisha niya wawili , ushauri, kutiana moyo kwa kila jambo au hatua unayo piga,, na mapenzi yakweli,, kama unaona ana kufaa basi komaaa naye,, ila binafsi sikushauri ,, fikiria hata kama umetoka naye mbali ,,, BAADA YA NDOA KUNA MAISHA,,, maisha ni furaha, kwenye furaha hapakosi amani na upendo wa dhati ndani yake,, na mashaurianao lazima mtapiga hatua na hata mkijaliwa kuwa na family mtaaishi kwa amani na malezi bora ya familia yako,, tafuta mpenzi / mchumba/ wife material nasiyo bora mwanamke tu.
Nashukuru sana Mkuu
 
Wewe mbinafsi. Unavomaanisga aje kuishi na wewe bila kumuoa ni haki? Au aje kuishi huko mkoa uliopo means aache kazi yake.
Wanaume acheni ubinafsi.
Katika jambo ambalo nimewaza ni kuunganisha kipato na kuanza kujijenga kama kitu kimoja. Inawezekana nikawa mbinafsi ila kwa uwezo aliokuwa nao sio lazima abaki sehemu moja kufanya kazi. Anaweza move na ku reallocate. Kumsupport itafaa pia.

Jambo jema nikutaka awe zaidi karibu nami maana hata uchumba ni mwaka huu ndo nataka nivishe pete. Then after hapo sitotaka awe mbali na mimi
 
Unaoa matatizo hapo atakuwa anakupa stress kila siku mkuu mwanamke anaekupenda kweli hachagui mahali pa kuishi popote pale wewe kichwa utaposema anakubali ila hilo bomu unalo
 
Habari wanabodi.

Kwa muda nimekuwa msomaji tu wa posts katika majukwaa mbalimbali humu ndani. Leo nimeona nami niwasilishe mada ama dukuduku langu yamkini naweza pata mtu au watu wa kunishauri humu.

Nipo katika mahusiano ya muda mrefu na msichana mmoja. Mahusiano yetu yameanza muda tokea tunasoma mpaka sasa kila mmoja anajitegemea na anafanya kazi. Naomba nikubali kuwa mwenzangu aliwahi pata kazi wakati mimi bado nipo chuo. Hali hiyo ambayo kwa namna moja ama nyingine ilileta shida katika mahusiano, maana mwenzangu alibadilika kidogo na nikaanzanona rangi zake halisia. Ingawa kwa kipindi chote kabla ya yeye kupata kazi niliweza kuwa msaada kwake.

Baada ya kumaliza chuo, sikukaa mtaani. Maana niliweza pata kazi yangu ya kwanza kama "intern" kwenye kampuni moja ambayo nilikaa nayo kwa muda wa miezi mitatu. Nilibahatika kuwa nalipwa kidogo hivyo nikawa najisogeza kimaisha mimi na kwa kiasi kidogo sana kwa mpenzi wangu. Ingawa tofauti ya kipato ilikuwa ni kubwa. Na hata majivuno kwa mbali yalikuwa yanaonekana.

Baada ya kutoka kwa kampuni hiyo nikabahatika kupata ajira kwa kampuni binafsi. Kampuni hiyo ilininyanyua kidogo maana hata kipato kikaongezeka na mbali na yote waliweza nipatia nyumba ya kuishi pembezoni mwa bahari ya hindi. Kwa mwenzangu heshima ikaanza kurudi. Hapa naomba niseme kitu. Kuna kitu watu wanasema kuwa mwanamke alimvumilia sana jamaa akiwa katika hali ngumu lakini jamaa ametusua anamuacha. Ila watu wanasahau kuuliza chanzo. Utakuta mwanaume alikuwa anavumilia mambo mengi sana kwa huyo mwanamke ila anapoona inatosha na kuondoka then yanatokea mengine.

Tuachane na hayo. Binafsi nampenda na nitazidi mpenda sana mwenzangu. Na katika kipindi cha maisha yetu ya sasa nimekuwa namkosea ila nimekuwa mkweli n kuungama katika mambo mengi ambayo yanatokea ama nikiwa nimekosea au hata kukiwa na hali haieleweki ili mradi tu mazingira yawe sawa. Sitaki kuwa mbinafsi ila kwa ukweli ni kuwa hata yeye ananipenda na nimekuwa mwanaume wake wa kwanza na familia zetu mpaka sasa wanasubiria sisi tu ili tutangaze nia.

SHIDA: tokea nimepata kazi ya awamu ya pili mpenzi wangu amekuwa haridhiki na kipato nachoingiza. Japo kuwa ni zaidi ya mara tatu nilichokuwa naingiza awali..ila bado yeye alikuwa amenizidi kwa kiasi kidogo. Mbaya zaidi amekuwa ananifananisha na wapenzi wa rafiki zake. Anataka nifikie katika mafanikio ya hao akisahau kuwa nina miezi michache tu tokea nimemaliza chuo. Utakuta anahali flani ambayp hairidhishi na amekuwa mbishi.. yaani hafanyi kitu mpaka kwanza mlumbane.. na mgumu kushaurika na inachukua muda mpaka kufanyika jambo. Kwa mfano alikuwa anatoa sababu ya umbali wa yeye kuishi na mimi pamoja na hata anasema sio sawa kimaadili kabla ya kufunga ndoa ama uchumba tuishi pamoja. Sababu ya pili niliona ina mantiki ila ya umbali niliipinga ukizingatia mwenzangu nae alikuwa amepanga anaishi na rafiki yake.

Hali ambayo ilikuwa inanipa wasiwasi. Na hali ikawa mbaya zaidi baada ya yeye kuchukua mkopo na kununua gari. Nilifurahi kwa yeye kupata usafiri ila sikupenda response zake kwa mambo mengi. Sio mchoyo na mbinafsi huwa ananipa mara moja moja natumia gari yake. Lakini bado hali ya yeye kuishi na mimi ilikuwa ni shida. Kuna muda akawa yupo mbali anasema ni ubusy wa kazi na mambo mengi.

Nikawa mpweke, nikasema bora nimalize huu uhusiano tu maana furaha ilikuwa inapotea. Kwa kipindi chote mwenzangu alijiaminisha siwezi pata msichana mwingine. Kwa kweli mwenzangu ni mrembo hasa, ila haikutosha kwa mimi kutazama pembeni. Nikabahatika pata mrembo ambaye anafanya kazi kama afisa masoko katika kampuni kubwa ya kuzalisha na kusambaza vinywaji. Alikuwa mrembo na anaejielewa. Alikuwa anayumia usafiri wa umma lakini hakuona tabu kuja na kuishi na mimi huku kwangu 'mbali' na alikuwa anakuja katikati ya week mpaka week inayofuatia.

KITU KIBAYA KIKATOKEA.
Siku moja Dar ilipatwa na mvua kubwa sana na umeme ukakatika. Sikuweza wasiliana na mwenzangu mpya kwa muda, na huyu mwenzangu wa zamani nilipanga kumtaarifu juu ya hili jambo akawa amekujaa. Basi bhana magari yakagongana. Mwisho wa siku niliamua kusitisha uhusiano mpya. Baada ya maongezi ya muda mrefu na mwenzagu.. tukakubaliana kuanza upya.

SHIDA YA PILI

baada ya kufanya kwa miezi nane kwa kampuni hii nikabaatika kupata kazi sehemu nyingine. Wao sasa walinilipa mara mbili zaidi ya wale wa awali kuanzia mshahara marupurupu . Hapa nikawa nimemzidi mpenzi wangu sasa. Heshima ikaongezeka mara dufu hasa baada ya kuanza kuchange mambo mambo. Akawa anapaona sio mbali tena. Na jambo ambalo kwangu lilikuwa bora zaidi, nikapangiwa kazi mkoani. Nje na Dar nikakabidhiwa kitengo. Safari zangu zikawa zinaratibiwa kwa ndege sasa. Shida ni kuwa siwezi kuwa nae mbali. Nimekaa nikimshauri na kuona njia bora maana sitoweza kufanya kazi mbali na mtu ambae nimemuoa. Nawaza hapa, maana mwenzangu haoni maisha nje ya Dar. Na hataki kuja kuishi na mimi. Binafsi napata shida kwa nini inakuwa hivi.

Wanajukwaa naomba mnipe ushauri na mnisaidie kujua hapa kuna mapenzi au mimi nimekuwa tu mbinafsi na kufikiria kwa upande wangu?

Nawasilisha.
Wewe ni mpumbavu sana.
 
Maisha ya ndoa ni sawa maisha yetu ya kila siku. Kuna kupata na kukosa, kuna kupanda na kushuka je anaweza kuzihimili Hali zote za maisha na hasa Kwenye kukosa Huwa ni kubaya zaidi huyo mwanamke Atakuwa anakupa Mchango upi pale utakapokuwa umeshuka au Ndio atakuwa anatoa sumni yake kwa masimango fanya maamuzi haraka tabia ni kama rangi ya ngozi haibadiliki hata ukiichubua ukweli utabaki palepale kwamba wewe ni mweusi. Kazi kwako.
 
Mbona minaona una changamoto ndogo na zakawaida sana.... Na hili halihitaji kushauriwa, bali wewe fanya maamuzi tu mkuu.
Pole sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom