Kama kweli katoa mimba yangu, alaaniwe

Jstar1

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
1,389
1,337
Hapo kabla, kuna binti nilkua nae kimapenzi tuna mwaka kwa sahivi, na kuna kipindi tunaachana na kurudiana, ila kwa sahivi inshort sio mpenzi wangu, ila hua nakula mzigo.

kama mwezi na nusu uliopita tulisex, na baada ya wiki mbili akanambia ana mimba yangu, kiukweli mi mwenyewe natamani kua na mtoto ila sio kuoa kwa sahivi.

Na taarifa za mimba za mimba ziliambatana na kuniomba ela ya kuitoa, nilitupilia mbali, ila yeye akadai ni mdogo na yuko chuo, ko kulea mimba itakya ngumu, basi nkamwambia fanya ufanyavyo ila unizalie usiitoe.

Basi baada ya apo tukakata mawasiliano kidogo, sa jana kaja geto kunitembelea, tukapiga story, na mambo ya mimba nilkua nshapuuza maana ni zaidi ya mwezi na nusu na alkua likizo hakunambia story za mimba.

Jana nashangaa anasema mimi nina mambo ya ajabu ndo maana mimba yangu, aliichomolea mbali, niliumia sana, sikuwai kuumia vile tangu nizariwe, kikweli alivotoka nilianza kulia, na kama kweli katoa mtoto wangu, kanikosea sana, nmeumia sana, iwe ni kweli au ni uongo, bora uwe uongo, yaani ina maana mtoto wangu wa kwanza kauawa, sio siri naandika huu ujumbe machozi yananilenga.

muwe na asubuhi njema, ila kiukweli, uyu msichana nahisi jana ndo itakua mara ya mwisho kuonana na mimi, mimba yangu imeniuma, natamani ata ningekua mwanamke akaiamishia kwangu, nmemkosa mtoto, na wakati uwezo wa kumlea na akakulia mazingira mazuri upo.
 
Huenda alikua anakuzingua skuingine kabla haujaingiza ya bahat mbaya basi panga na mtu awe tayar kùbeba ujauzito wako
 
Back
Top Bottom