Maisha ya mwanaume bila mwanamke hayajakamilika

Maisha ya mwanaume bila mwanamke hayajakamilika

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,209
Reaction score
64,298
Maisha ya mwanaume bila mwanamke hayajakamilika.
  • Utakunywa pombe, utalewa, na utarudi katika hali yako ya kawaida, lakini pale kati hapajakamilika
  • Utatembea nchi zote duniani na utarudi nyumbani, lakini bila mwanamke pale kati hapajakamilika
  • Utaenda mbuga za wanyama n.k, lakini bila mwanamke pale kati hapajakamilika
  • Utapata kazi nzuri, utalipwa mshahara mzuri n.k, lakini pale kati hapajakamilika bila mwanamke
  • Utakuwa tajiri mkubwa, fedha hazitakuwa tatizo, lakini bila mwanamke pale kati hapajakamilika
NB: Mwanamke anamchango mkubwa sana kufanya maisha yako yawe matamu.
 
Naona umeongea sana ungefupisha tu uzi women run the world kila mmoja kwa nafasi yake na kwa wakati wake angeelewa
 
Back
Top Bottom