my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
Unajua nyie wanaume waTanzania mna matatizo mingi sana mpaka mnakera sijui mkoje. Niliweka post hapa nikasema nina pesa lakini sijui nitumie nini basi dm wanaume wamejileta wengi ati wa nataka niwa kopeshe sijui nikopeshe laki tano😂😂 wengine wananiandikia matatizo Walikuwa nayo sijui mtoto wake amefanya aje huko matatizo mingi haaa mpka nime ogopa nimefunga pm.
Sasa mwanaume una anza vipi kumkopa mwnamke jamani. Mwanaume una kosa laki tano pesa ndogo kama hiyo? Sasa wewe ni mwanaume wa gani? Si bora ubadili jinsia tu 😂
Mimi nina mdogo wangu ako na miaka 16 alivunja simu ya mtu shuleni akawa anadaiwa, pesa yakulipa hana halafu a naogopa kumwambia mama na baba, akaja kuniambia mimi, mimi nikampa pesa aka kataa akasema no sichukui wewe mtoto wa kike una matumizi mingi utakuja kuzihitaji baadae utafanyaje. Mpaka mimi nikaenda shule bila yeye kujua nikampa yule anayemdai. Akaja kunishukuru lakini hakupenda. Sasa nimeshangaa wanaume wa humu watu wazima eti wana nielezea shida zao niwako peshe. Nimeshangaa halafu nimeogopa kwa wakati mmoja ðŸ˜