Unafungia harusi mjini badala la kijijini ulikotoka eti kisa washikaji

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Vijana wa leo 'brothen men' sana!

Kila kijana anayefunga ndoa eti anafungia mjini anakoishi, anakofanyia kazi badala ya kurudi kijijini ulikozaliwa, ulikokulia ama ulikotoka na ndio kwenye baraka za wazazi, ndugu na jamaa wa ukweli ulikolelewa kuliko 'masnitch' wa huko mjini uliowakuta ukubwani.

Wazazi, ndugu na jamaa wanapata shida kusafiri kutoka huko kijijini Uvinza kuifuata sherehe yako huko Dar, kisa eti hutaki kuwalet down washikaji na jamaa wengine 'wakuja' tu kwenye maisha yako.

Kijijini mzazi/ndugu/rafiki ajichange nauli, ashone sare, ajikusanye kizawadi na aandae hela ya kuja kulala Dar kuhudhuria sherehe yako. Kisa tu masela wako eti.

Kijijini hela ni ngumu mno, kilimo hakina tija, wazee wamedunduliza wee kukusomesha mpaka umefikia hapo, leo hii tena unataka wajichange watoke huko kijijini wakufuate wewe mjini. Ni ujinga sana huu.

Kwanini usifunge harusi kijijini? Hata watu baki (masela) wakiikosa sio tatizo, kwanza ni baraka sana.

Inaumiza sana vijana wa leo unasababisha wazazi, ndugu wanajichanga huko kijijini kwa ajili ya kuja kuattend harusi yako mjini.

Ni dhambi sana ndio maana ndoa hazidumu.
 
Inategemeana maharusi wanatoka sehemu gani(mkoa gani).

Kama mke ni wa Tanga na mume ni Mwanza. Ndoa itafungiwa kijiji gani ikiwa kila mmoja anataka ndoa ifungiwe anakozaliwa....

Kama wanatoka mkoa mmoja hapo pana unafuu wa kufanyia huko walikozaliwa.., hili naliunga juhudi kwa asilimia karibu zote.
 
Maisha yamebadirika,siyo kama zamani mara nyingi walioana kabila moja,siku hizi mtu anatoka Sumbawanga anaoa Ngara,Kagera..........so lazima mtu anabalance tu kutokana na mazingira yanayomzunguka
 
Una hoja ya msingi sana harusi ni kama msiba unatakiwa kufanyia ulipozaliwa sema tunaiga umagaribi.
Mi siyo Muslim ila navutiwa na namna wanavyo handle misiba yao,popote utakapofia unazikwa ni asilimia ndogo wanasafirisha,siyo kila jambo in umagharibi,mambo mengine tukubaliane hayepukiki
 
Inategemeana maharusi wanatoka sehemu gani(mkoa gani).

Kama mke ni wa Tanga na mume ni Mwanza. Ndoa itafungiwa kijiji gani ikiwa kila mmoja anataka ndoa ifungiwe anakozaliwa....

Kama wanatoka mkoa mmoja hapo pana unafuu wa kufanyia huko walikozaliwa.., hili naliunga juhudi kwa asilimia karibu zote.
Mkuu anayeolewa hapo ni Nani mpaka ujiulize kijiji gani ndoa itafanyika?
Ukiona mkeo kaondoka na Mambo ya kwao huna mke hapo
 
Acha kuwa primitive broo ndoa au harusi ni jambo binafsi kwani kijijini kule unampeleka nani au ndyo unaenda ringishia nimeondoka kijijini miaka 10 iliyopita maisha yangu mengi yako mjini kwanini nisifanyie mjini ambapo ndyo Nina watu wengi niliokaribu nao alafu kuowa haikuitaji kushirikisha watu 100 at 15 tu ambao unaisi wamuhimu kwako maana humuolei mtu kwaiyo usifanye kitu kumfurahisha mtu
 
Vijana wa leo 'brothen men' sana!

Kila kijana anayefunga ndoa eti anafungia mjini anakoishi, anakofanyia kazi badala ya kurudi kijijini ulikozaliwa, ulikokulia ama ulikotoka na ndio kwenye baraka za wazazi, ndugu na jamaa wa ukweli ulikolelewa kuliko 'masnitch' wa huko mjini uliowakuta ukubwani.

Wazazi, ndugu na jamaa wanapata shida kusafiri kutoka huko kijijini Uvinza kuifuata sherehe yako huko Dar, kisa eti hutaki kuwalet down washikaji na jamaa wengine 'wakuja' tu kwenye maisha yako.

Kijijini mzazi/ndugu/rafiki ajichange nauli, ashone sare, ajikusanye kizawadi na aandae hela ya kuja kulala Dar kuhudhuria sherehe yako. Kisa tu masela wako eti.

Kijijini hela ni ngumu mno, kilimo hakina tija, wazee wamedunduliza wee kukusomesha mpaka umefikia hapo, leo hii tena unataka wajichange watoke huko kijijini wakufuate wewe mjini. Ni ujinga sana huu.

Kwanini usifunge harusi kijijini? Hata watu baki (masela) wakiikosa sio tatizo, kwanza ni baraka sana.

Inaumiza sana vijana wa leo unasababisha wazazi, ndugu wanajichanga huko kijijini kwa ajili ya kuja kuattend harusi yako mjini.

Ni dhambi sana ndio maana ndoa hazidumu.
Sio wote tumezaliwa kijijini kama wewe
 
Hoja ya msingi pale ulipozaliwa na kukulia wafuate wazaz na ndugu wengne na marafiki wa zamani pia kuna baraka zaidi katika hilo, mkeo akiagwa atakuja, ima ni harus ya kiislamu usisahau rudi nyumban tulicheze vanga
Sasa et wanadai umezaliwa mjn sawa hapo mfano Kihonda Morogoro:p:p kwel harus ndo ufunge Singida et washkaj?
Ihali wajua wanao wa kitaa tulipozaliwa twaweza pia unga unga vzur takalcheza vanga kwa chenji zetu?
 
Hao washikaji wenyewe wa kijijini walishahamia mjini.....
 
Hoja ya msingi pale ulipozaliwa na kukulia wafuate wazaz na ndugu wengne na marafiki wa zamani pia kuna baraka zaidi katika hilo, mkeo akiagwa atakuja, ima ni harus ya kiislamu usisahau rudi nyumban tulicheze vanga
Sasa et wanadai umezaliwa mjn sawa hapo mfano Kihonda Morogoro:p:p kwel harus ndo ufunge Singida et washkaj?
Ihali wajua wanao wa kitaa tulipozaliwa twaweza pia unga unga vzur takalcheza vanga kwa chenji zetu?
Waache uchawi kwanza ndo wapelekewe kuona wake zetu...... ukitoka na mke wako huko tu wamemkumbatia kumbatia siku ya harusi ukirudi nae huku ujauzito hashiki na akishika mimba haikai. Ndiyo maana hata ndoa yenyewe inayofungwa mjini waalikwa toka kijijini ni the selected few maana hao wengine ukiwabeba wote kuwaleta kwenye ndoa yako wanakuja na mauchawi yao.
 
Namshukuru Mungu kwa hili, nilifunga harusi yangu nyumbani kijijini
 
watu wa mikoani mna stress sana,walipie mahari kwanza kabla ya kuwapangia harusi wakafungie wapi
 
Acha kuwa primitive broo ndoa au harusi ni jambo binafsi kwani kijijini kule unampeleka nani au ndyo unaenda ringishia nimeondoka kijijini miaka 10 iliyopita maisha yangu mengi yako mjini kwanini nisifanyie mjini ambapo ndyo Nina watu wengi niliokaribu nao alafu kuowa haikuitaji kushirikisha watu 100 at 15 tu ambao unaisi wamuhimu kwako maana humuolei mtu kwaiyo usifanye kitu kumfurahisha mtu

Na ukifa uzikwe huko huko unakoita mjini, usije kutusumbua huku.... usiku utapokwisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom