Miaka 13 iliyopita nilikuwa na mahusiano na Dada mmoja ambaye Leo hii ndio mke wangu lkn kabla sijamuoa tulipata mtoto mmoja kipindi napanga tufunge ndoa.
Ndugu zangu wakanitonya kuwa huyu wife...
Mwanamke Akikujibu SMS yako Hivi Acha Haraka Sana Kuchat Nae Haraka Sana
Ukiona umemtumia mpenzi wako/mchumba wako au hata rafiki wa kike wakati mwingine SMS ya kawaida tu kwaajili ya kumsalimia...
1. Usipokee simu ukiwa chumbani na mke wa mtu unaweza kuwa unafwatiliwa ili uuliwe, pundamilia wewe![emoji3070][emoji3070]
2. Usitumie gari yako inayofahamika. Kodi tax, Uber au bodaboda...
Kuna watu niliwahi sema walinivutia sana kuja Jamii Forums. Mmojawapo ni gudume. Huyu uandishi wake,visa na mikasa yake ilinifanya niingie JF kila siku kutaka msoma.
Ameongezeka Boss Kiduku Lilo...
Msanii wa muziki wa Bongo fleva Hellen George maarufu kama Ruby ameandika kwenye Mtandao wa Instagram hivi:
Nimekuwa nikijiuliza niseme ama nionge kwa nani ila katika hizi dhama lazima kusema...
Mimi ni mwanaume nipo Kilimanjaro, nimejiajiri natafuta marafiki wa kike tu wawe wajasiria mali. Lengo ni kubadilishana mawazo kwani mimi naamini kua nahitaji sana ushauri kutoka kwa wanawake...
Habari zenu wakuu, kuna mdada mmoja nimetokea kumkubali sana shida ni moja kila nikimuona anakuwa na kampani na mtu mwingine
Huwa atembei peke yake akienda dukani anaenda na dada ake, akienda...
Nimeipata hii mahala
Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda kuwa na wanaume wanaojiweza kiuchumi. Lakini wanapotambua kwamba wameshaoa hushangaa sana na huumia na kusema wanaume wote ni mbwa tu...
Kuna demu flani hivi kaniambukiza huu ugonjwa wa pumbu illusion ni kama fungus flani hivi wanakaa kwenye pumbu ukijikuna unatoka weupe weupe kama unga alafu inawasha hatari muda wote ni Kru kru...
Habari zenu...
Kuna Toto la kishombe ivi...nilimsoundisha kinaga ubaga ila kwa bahati mbaya akaniambia haitawezekana maana Dini zetu tofauti,,,mchizi nikaona freshi tu...Cha kushangaza sasa...
Utakuta mume anamficha mke wake kila kitu ndani ya ndoa.
Utakuta mke hajui:
*mume ana shilingi ngapi bank.
*mume ananyumba gapi.
*mume ana miradi mingapi.
*hati ya nyumba ipo wapi.
*kama mume ana...
Hii imetokea huko Dar kwa kijana au tuseme mvulana kumdunga kisu mpenzi wake na yeye kujidunga kisu na wote waka rest in peace huku wakiacha katoto
Wavulana mnakwama wapi hadi ujinga wa kuua na...
Ilikuwa ni mwaka 2012 mwezi wa kumi na mbili ndipo nilipokutana na huyu mwenza wangu. Alikuwa ni nurse pale Hospitali ya Sokoine mkoa wa Lindi.
Nilifanya mazungumzo nae ya awali japo hakunipa...
Mchezo wa Kibati ni mchezo wa waminifu ambao watu wawili au zaidi hucheza kwa kupeana hela/ fedha kwa zamu.
Zamu hizo hufanyika kwa mzunguko wa siku fulani kutokana na makubariano ya wachezaji...
Katika pitapita yangu yangu mitandaono nimekutana na huyu kaka anayeomba msamaha kwa makosa yake ya kuwaumiza moyo wanawake aliotembea nao.
Imenigusa sana it is very touching.
Kuna msichana kitaa namtamani sana, sio kwamba ni kadogo sana, kwa makadirio age difference ni kama miaka 10 hivi yaani kama mimi nina miaka 30 yeye ana 20, kinachonipotezea confidence ni tabia ya...
Wakuu shikamooni..Leo sitaandika kwa ile Lugha ya Kiarusha(Ngareroo slang)Kwasababu Nna jambo naombeni msaada wa mawazo yenu kama kaka zangu na Dada zangu,,So leo naomba niandike kwa lugha...
Kama nilivyoanza mwanzo....usisome kama una machozi ya karibu...
“Nilipofika nyumbani usiku ule, mke wangu aliponitayarishia chakula, nilimshika mkono na kumwambia, Kuna kitu nataka nikwambie...
Habari ndungu wana JF ,
Karibuni tujadili mada hiyo hapo juu
Ikiwa una mchumba ambae mnapendana kwa dhati lakini lakini hayupo vizuri kiuchumi na amedhamiria kukuoa.
Kutokana na tatizo la...