SuperHb
JF-Expert Member
- Mar 21, 2016
- 1,012
- 1,028
Habari zenu...
Kuna Toto la kishombe ivi...nilimsoundisha kinaga ubaga ila kwa bahati mbaya akaniambia haitawezekana maana Dini zetu tofauti,,,mchizi nikaona freshi tu...Cha kushangaza sasa haiwezi pita siku 2 bila kuja Kazini kwangu tena bila taarifa akidai eti amenimiss kuniona.,,nishamzuia asiwe anakuja kazini kwangu bila taarifa lakini ananiambia eti ananifanyia Surprise...siku nikisafiri anaomba mwenyw nimletee vizawadi vya hapa na pale,, Tukiwa njiani mara anishike mikono...mara anikumbatie,, yaani anatafuta visababu vya kunigusa gusa....kiufupi naona dalili fulani za kuanza kunielewa
Sasa mimi baada ya kuona reactions zile za mtoto nikaona atakuwa kanielewa...nikamgusia maswala ya kumtoa out...akasema poa ila isiwe sehemu ya private...anataka sehemu ya wazi kabisa... (NAHISI KASHUTUKIA OUT YA PRIVATE NI LODGE/HOTELI) maana nakumbuka alinambia yuko tyari kwa out ya Lodge/Hoteli lakini tuwe maeneo ya open place...(Ya Wazi)
Sasa ndugu nifanyeje nataka kugegeda...nitumie Mbinu gani huyu mtoto aingie laini....?