Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,200
Kuna demu flani hivi kaniambukiza huu ugonjwa wa pumbu illusion ni kama fungus flani hivi wanakaa kwenye pumbu ukijikuna unatoka weupe weupe kama unga alafu inawasha hatari muda wote ni Kru kru kru kru,
Hivi dawa yake nini hiyo wakuu?
Note:
Dawa ikataze vyote kama kunywa pombe na N.K lakini isiwe na katazo la kutokutumia Papuchi wakati wa dozi.
CC Zero IQ
Hivi dawa yake nini hiyo wakuu?
Note:
Dawa ikataze vyote kama kunywa pombe na N.K lakini isiwe na katazo la kutokutumia Papuchi wakati wa dozi.
CC Zero IQ