Huu ndio uanaume, ubinadamu na ndio hekima yenyewe

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,831
Katika pitapita yangu yangu mitandaono nimekutana na huyu kaka anayeomba msamaha kwa makosa yake ya kuwaumiza moyo wanawake aliotembea nao.
Imenigusa sana it is very touching.
 
Attachments

  • Screenshot_2019-04-02-12-11-59.png
    Screenshot_2019-04-02-12-11-59.png
    33.2 KB · Views: 78
  • Screenshot_2019-04-02-12-11-59.png
    Screenshot_2019-04-02-12-11-59.png
    33.2 KB · Views: 35
Ni jambo zuri, ila moja ya kizuizi cha mawasiliano hata kufanya ujumbe ushindwe kumfikia mlengwa ni Channel ulotumia.

Hapa tukubali wote kwa pamoja kua ,Huyu Muhuni anaowaandikia alikutana nao FB tena kwenye jukwaa ilo ...nadhan ndo italeta maana halisi.

Lkn km nia yake ilikua Msamaha tu. baasi kupiga magoti na kuongea na Mungu wake ,ilikua pia ni njia Bora zaidi

Kwako mtoa mada !

'A bad peace is better than a good quarrel '
 
Huyu MTU kaonyesha humbleness ya hali ya juu, its really hard to say I'm sorry.
 
Nazjaz mi naamin Dunia ya wanaume unaijua vzuri sana .

Na kwa binadam aliyekua vzuri atambuaye kosa ni lazima tu ajute na kuomba msamaha maana ndio njia sahihi ya kuondoa mzigo mkubwa moyoni mwake.

Je upekee hapo ni Kuomba msamaha kwa post mbele ya hadhira? Au tu kuomba msamaha??.

Maana nikm mtu atoae uzi JF kua " Natafuta mke/mume sio kwamba mtaan hawapo, wapo sana tuu ila nmeona tu nitafute humu JF".

Kwako Najzaj

'A bad peace is better than a good quarrel '
 
Huyu mwanaume ni jasiri na amefanya kitu adimu.
MTU unakaa naye ndani anakosea, kusema tu baby I'm sorry anashindwa, ndio sembuse hiyo ya kukiri hadharani? Kwa mtazamo wangu jamaa has swallowed his pride

Aahh sawa kikubwa hapa ni watu waombe misamaha wanapokosea !!

'A bad peace is better than a good quarrel '
 
Huyu mwanaume ni jasiri na amefanya kitu adimu.
MTU unakaa naye ndani anakosea, kusema tu baby I'm sorry anashindwa, ndio sembuse hiyo ya kukiri hadharani? Kwa mtazamo wangu jamaa has swallowed his pride
Sipendi kuishi na mtu mgumu kuomba samahani hata kama amekosea
 
Back
Top Bottom