Alvin A.
JF-Expert Member
- Oct 14, 2016
- 2,865
- 3,640
1. Usipokee simu ukiwa chumbani na mke wa mtu unaweza kuwa unafwatiliwa ili uuliwe, pundamilia wewe![emoji3070][emoji3070]
2. Usitumie gari yako inayofahamika. Kodi tax, Uber au bodaboda..... [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
3. Usiandikishe jina lako halisi katika kitabu Cha wageni guest. Tumia hata jina bandia, jiite hata Kinjikitilelo Mwamunyetoko[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
4. Funga mlango na funguo kwa ndani ikiwezekana ongeza na komeo. Ziba kitundu Cha funguo kwa nguo, watakuchungulia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
5. Mkimaliza uzinzi wenu, msitoke kwa pa1 ikiwezekana mwanaume tangulia nje uangalie mazingira ya usalama Kisha ndio umtext mwanamke atoke wakat huo umeshamwandalia usafiri tayari[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
6. Usimwambie mtu yeyote kuwa unatembea na mke wa mtu[emoji2943][emoji2943][emoji2943][emoji2943][emoji2943]
7. Usipite sehem za wazi kwenye watu wengi kama vile bar [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
8. Ukiona upo sehemu halafu mtu anawaangalia na kuonesha dalili kama za kuwashtukia, achana na mawazo ya uzinzi kimbia hata vichakani[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
9. Usikubali kuwasiliana nae kwa njia ya sms au whatsap inaweza kuwa Ni ushahidi tosha. Mawasiliano yote yawe ya kuongea tu[emoji2944][emoji2944][emoji2944][emoji2944][emoji2944][emoji2944]
10. Sehem moja ukienda usiirudie Tena. Mkipanga kukutana guest flan, akifika badilisha mawazo, hama mtafute sehemu nyingine, kuwa mtu wa machale[emoji1379][emoji1379][emoji1379][emoji1379][emoji1379][emoji1379]