Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,617
- 2,267
1/Umkute mkeo ameweka mguu juu ya paja la mwanaume anatengezwa ukucha, umsifie.
2/Umkute mkeo ndani ya saluni ya kiume anasukwa rasta, umsifie.
3/Umkute mkeo kwa fundi charahani anageuzwageuzwa anapimwa ili ashonewe nguo, umpongeze
4/Umkute mkeo amemkumbatia bodaboda kwa kumzungushia mikono kiunoni nmpotezee,
5/Umkute mkeo kwenye kigoma mtaani anamwaga razi ushangilie. Mimi siwezi wewe je!?