Mimi ni kijana mwenye sifa zifuatazo.
-Umri 28
-Mrefu
-Mweusi wastani
-Mpole kimuonekano na tabia
-Mfanyakazi
Leo nakuja kwenu wana JF kuonyesha nia yangu ya kutafuta mchumba ambaye baadae anaweza...
Sophie Toscan Du Plantier
Sophie Toscan Du Plantier Siku ya harusi yake na mumewe
Sophie Toscan Du Plantier akiwa na mumewe
Mtuhumiwa Ian Bailey
Bailey akiwa na mpenzi wake Jules Thomas...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23, natafuta mchumba mwenye umri kati ya miaka 18-25.
Awe mwenye upendo na anayejali
Elimu sio kigezo sana ili mradi awe muelewa
Mimi nasoma Masters Degree...
Vile mapenzi yanavyonoga, unaweza kudhani dunia yote yako. Ni habari njema sana kwa wanaofurahia mapenzi.
Mapenzi haya jamani yaacheni tu kama yalivyo. Japo maumivu yapo lakini binaadamu hata...
Wanawake wenye IQ's kubwa huwa na wakati mgumu kupata mume. Mara nyingi huwa ni wachaguaji sn na kwao, ni bora kuwa wenyewe kuliko kuwa na mtu ambae sio sahihi. Ndio maana wengi hawajaolewa lkn...
Leo nimekaa likanijia wazo la kijana Diamond ambaye ni homa ya jiji na Africa kiujumla, huyu jamaa kwa upande wangu ni Risk taker katika suala zima la mapenzi, haiwezekani hela zake zote, umaarufu...
Salaam sana wakuu katika jf.ni mwaka mmoja na kidogo nipo mkoani iringa ktk kupambana na hali yangu ila nashangazwa na wimbi kubwa la dada zetu ambao wamekua tom boys.Most of them ni 15-25 yrs...
Hello guys.
Can you fall in love with someone in JF without meeting them???
let's start with that question first..
I asked my self several times, how can this be possible, inawezekanaje mtu...
Kuna siku mwenzenu nimewahi ingia katika kumi na nane za jikedume, bila kujua nikaopoa demu jike-dume;
hii iliwahi nitokea Mara mbili;
ya kwanza ilikuwa ni mwanamke mwenye papuchi kwa chini na...
Napenda kujifunza kutoka kwenu especially kwa wale walioko kwenye ndoa na wale ambao hali kama hii ishawatokea.
Je ukimfumania mwenza wako anachepuka ndani ya Nyumba yako kiasi cha kwamba...
Inasemekana kuwa wanawake wa kimachame mkoa wa Kilimanjaro wanawaua waume zao kwa style tofauti tofauti ili kurithi mali.Na pia kaya zao nyingi kuna wajane kwa ajili ya vifo vya waume kutokana na...
Hili pini sio mchezo, hata kama umeoa likijipendekeza hili huwezi kukataa.
Dunia ina viumbe hii, hata ingekua mimi mbona ningeshasaliti ndoa.
Hata mke wako akikufumania na pisi kama hii...
Salaam kwa wote watakaosoma hii
Nipo mbali na familia yangu kwa ajili ya mambo ya kimaisha kwa muda wa miaka miwili sasa. Japo huwa naenda sometimes.
Kule nilikuwa na mahusiano mengine nje ya...
Wakuu habari za majukumu ya kulijenga taifa letu.
Hivi karibuni nilipata kuhama sehemu niliyokuwa na kuhamia sehemu nyingine kikazi, na Mungu ni mwema nafasi (cheo) kilikuwa ni cha juu tofauti na...
Kwanza pole kwa majukumu ya kuijenga Kenya na Afrika ya mashariki.
Hili ulilosema umenifanya nifumbue macho maana pia Mimi ninamabinti na ninatamani niwaone wakiwa Bora.
Wapo ambao hawajui...
The very first HIV cure may soon enter the market. A pharmaceutical company believes it has created the drug that would completely eliminate the virus in the body.
Existing medications could only...
If my man pays for lunch, I pay for dinner,
If he pays for the movie tickets, I will buy snacks. If he buys me a shoe, I'll get him a nice suit.
If he's having a rough day, I'll help him...
Yeye single baba wa mtoto wa kike na mimi single mama wa mtoto wa kike, tukubaliana tuyajenge tulee mabinti zetu.
Cha ajabu hataki nimwambie yeyote kuhusu huu uhusiano wetu.
Kanivisha pete mbele...
Habarini za wakati huu wanajamvi, jamani mie nimeachana demu wangu wangu tuliyekuwa kwenye mahusiano kwa muda miaka kama miwili baada ya hapo kila myu akaendelea mbele na maisha yake.
Sasa kwenye...