Upweke ni changamoto sana. Usiombe upitie hali hii niliyonayo

ndege joni

JF-Expert Member
May 23, 2017
673
1,083
Salaam kwa wote watakaosoma hii

Nipo mbali na familia yangu kwa ajili ya mambo ya kimaisha kwa muda wa miaka miwili sasa. Japo huwa naenda sometimes.

Kule nilikuwa na mahusiano mengine nje ya ndoa but baada ya kuondoka kwa muda huo yaliishia njiani.

Kuna kipindi niliamua kutafuta mke mdogo wa kuwa nae huku nilipo ila ndo wahuni wakamlaghai. Shortly for now nahisi I need someone else for me.

Sijui nitaanzia wapi ila ndio hivo. I'm so lonely for the time being. Huwa najiliwaza kwa vyombo (pombe) ila kwa sasa nina dozi nahisi kama nipo kuzimu.

Sijui nafeli sehemu gani

Ushauri wenu tafadhali.
 
toka tembea nenda viwanja,si lazima uende bar,ata kama ni bar si lazima unywe pombe,unaweza kwenda cinemas,nenda ata sehemu watu wanakunywa kahawa jichanganye apo,sehemu watu wanacheza draft ji mix apo,nenda uwanjani watu wanafanya mazoezi katizame au na wewe kakimbie ata round 5 tu,chukua movie kaa ndani angalia,download games cheza...kuna njia nyingi sana za kuwin iyo situation!!
 
Pole mkuu!..Naona upweke mbaya zaidi ni kuwa na upweke hats ambapo kuna watu wako wa karibu wamekuzunguka.Nishawahi kuwa na upweke ilhali Kila mtu yuko pale,hisia ambayo sitamani hata kukumbuka,hakunaga suluhu...
Hilo nalo litapita,suluhu rahisi ni kuongeza muda wa kurudi kwa familia yako na kama inawezekana uwe nao huko ulipo.
 
Loneliness is a major cause of premature death. Apart from depression, loneliness can cause a heart attack and stroke!

Usi focus kwenye relationship kama ndio jibu la kukabiliana na upweke! Hii inaweza kuleta madhara makubwa kama isipokwenda vizuri.

Inategemea upo nchi gani. Kama ni nchi iliyoendelea kuna mambo mengi unaweza kufanya kukuondolea upweke. Mfano, una weza kuseek professional help such as therapy, Ku volunteer, GYM, Evening courses. Kujihusisha kwenye magroup ya kanisani au msikitini!

Pia inawe
 
Salaam kwa wote watakaosoma hii

Nipo mbali na familia yangu kwa ajili ya mambo ya kimaisha kwa mda wa miaka miwili sasa.... japo huwa naenda sometimes. Kule nilikuwa na mahusiano mengine nje ya ndoa but baada ya kuondoka kwa mda huo yaliishia njiani.

Kuna kipindi niliamua kutafuta mke mdogo wa kuwa nae huku nilipo ila ndo wahuni wakamlaghai. Shortly for now nahisi I need someone else for me. Sijui ntaanzia wapi ila ndo ivo. I'm so lonely for the time being. Huwa najiliwaza kwa vyombo (pombe) ila kwa sasa nina dozi nahisi kama nipo kuzimu.
Sijui nafeli sehemu gani

Ushauri wenu tafadhali.
Pole sana tatizo unawachukua siyo type yako
 
Umeona eeeh....acha kabisa Ses upweke ni balaa moja na nusu
Huku kwetu upweke husababishwa na tabia ya kutaka kuwaiga wazungu wakati kiasili mwafrika ni mjamaa.Katika maisha yetu lazima awepo au baba au mama au mtoto au mjpmba au shangazi au bibi au babu au mume au mke au mpenzi au au au au waweza ongezea wengine ndio furaha inakamilika
 
toka tembea nenda viwanja,si lazima uende bar,ata kama ni bar si lazima unywe pombe,unaweza kwenda cinemas,nenda ata sehemu watu wanakunywa kahawa jichanganye apo,sehemu watu wanacheza draft ji mix apo,nenda uwanjani watu wanafanya mazoezi katizame au na wewe kakimbie ata round 5 tu,chukua movie kaa ndani angalia,download games cheza...kuna njia nyingi sana za kuwin iyo situation!!

We ndo umenipa ushauri mzuri
 
una pesa alafu mpweke??hujui kutumia hizo pesa labdasi unafanya nauli kumfata mkeo??mleta mada kinachomsumbua zaidi ni kupigwa chini na mchepuko aliyekuwa nae!

Af inategemea mke anafanya nini alipo. Sio mda wote unaweza kumleta
 
Unashindwa kumuita mkeo aje akuondolee upweke unatamani kuchepuka tu hiyo siyo sawa kabisa hebu jifikirie na yeye upweke anamuondolea nani?

Back
Top Bottom